Lagertha
Member
- Mar 1, 2023
- 74
- 217
- Thread starter
- #181
Ahsante sana ndugu yangu,Pole sana dada, Mungu akutie Nguvu na ujasiri wa kuyashinda. Akuongoze vyema. Hakika, jaribu lako ni zito.
Mie nashauri acha kumtafuta huyo mumeo, usimdai talaka labda kama unataka kuolewa na mwingine. Kwa Sasa usimdai talaka, subir mtoto azaliwe. Sali sana na Muombe Mungu muweza wa yote. Atakusimamia na kukuongoza vyema.
Simama imara, jikaze Dunia ni mapito.
Ushauri wa kutokudai talaka nimeupokea, nitasubiri hadi nione hatma