Moyo wangu unaungua, Akili inaharibika, Mwili unakonda, Mapenzi yanatesa sana

Moyo wangu unaungua, Akili inaharibika, Mwili unakonda, Mapenzi yanatesa sana

Pole mwaya...ila wanaume mkioa mjifunze kutulia..maombi ya wake zenu ndyo yanawapandisha viwango ni vile hamjui tu
Hakuna mwanamke mwenye uwezo wa kumuombea mwanaume wake afanikiwe.Mafanikio ya mwanaume hayahusiani na maombi ya mwanamke.Mwanaume ukiamua kufanikiwa unaweza bila hata kuwa na mwanamke au kuitaji maombi ya mwanamke.
 
Pole Sana Binadamu tunabadilika all over the days so usiniamini Sana na Mimi sitokuamini Sana weka tegemeo kwa Mungu wanawake ndo huwa chanzo Cha mahanguko mengi katika MAISHA ya watu wengi .

Ikiwa upo hai msamehe mme wako na mshukuru Mungu . ... nothing last.
 
Ukioa mwanamke utaelewa ila ukioa msichana huezi elewa
wanawake ni chanzo kikubwa cha maanguko ya wanaume.Wanaume waliofanikiwa kiuchumi ambao hawajaoa huwa hawaanguki kirahisi
 
Kona kwenye BARABARA

Mara nyingine tunafika kwenye njia panda ya maisha na tunaona kile tunachofikiri ndio mwisho.

Lakini Mungu ana maono mapana zaidi Naye anajua ni kona tu njiani! itaendelea na kuwa nyoofu baada ya kusimama kwa ajili ya kupumzika,
Njia iliyofichwa zaidi yetu Mara nyingi ndiyo njia iliyo bora zaidi. Kwa hivyo pumzika kidogo ili upate na nguvu za kusonga mbele..

Mwachie Mungu akubebee mzigo wako Na uwe na imani katika kesho yenye mwanga.

Muda huponya, imani hutupa tumaini jipya na faraja iliyopotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukio lako limeniumiza sana lakini hii comment imeniumiza zaidi, imebeba hisia nzito sana naimani hata muhusika imemgusa,

Pole sana Mama Kijacho, kama hutojali nicheki PM tunaweza kuongea mengi utakua sawa tu usijali, tutunzie huyo mtu mzito ajaye.
Nashukuru sana Dada, naona umefunga pm, nipo tayari kwa mazungumzo
 
Nimesoma yootee......
Mlipoanza kufika kilele cha mafanikio mkaachana na Mungu akaelekeza nguvu zenu huyu kwenye starehe yule akaacha kumuombea mwenzake aache pombe na wanawake
Unajua mahusiano na ndoa nyingi zinavunjwa kwa uchawi na ushirikina wa watu wa karibu.
Walina mmeanza kufanikiwa wakaona wawatenganishe tuu
Usemacho ni kweli japokua hua siamini kwenye ushirikina ila naamini tulizikosa baraka za Mungu wetu kwa kujiweka mbali nae.
[emoji24][emoji120]
 
Tusiwe na maneno negative na hii story, inaweza kumpa depression ndugu yetu. Tuchukuliwe katoa tu hali ya dunia, tunaweza rudia siku moja hii thread.
Sometimes the best way is to talk it out na kusikia watu wanasemaje.
Dada yangu pole pole pole sana pole tena. Ila niseme,
DONOT EVER GIVE UP ON YOURSELF.

Watu watakusema, Watu watakufanyia mabaya, ila kamwe hutakiwi jifanyia wala kujiwazia mabaya.
You have to go on with your Life. Haya ndio maisha. Usijutie, umedondoka inuka jipukute.
Wenzio wengi tu waliachwa na watoto inauma ila nakuomba Tuliza moyo. Utawaza sana mapenzi yanaumaaa saaana. Ila tafadhari. Embu jikaze. Jione wewe ni mzuri kuliko wote sisi au yeye anaokutana nao. MUNGU AKULINDE NDUGU YANGU
Ahsante sana ndugu yangu kwa maneno mazuri na yenye kunitia nguvu, tena huwezi amini nilivyoandika huu uzi, nimelala usingizi mzuri usiku wa kuamkia leo,
Kuna watu wamenipa faraja sana ukiwemo wewe, shukran sana [emoji120]
 
Kona kwenye BARABARA

Mara nyingine tunafika kwenye njia panda ya maisha na tunaona kile tunachofikiri ndio mwisho.

Lakini Mungu ana maono mapana zaidi Naye anajua ni kona tu njiani! itaendelea na kuwa nyoofu baada ya kusimama kwa ajili ya kupumzika,
Njia iliyofichwa zaidi yetu Mara nyingi ndiyo njia iliyo bora zaidi. Kwa hivyo pumzika kidogo ili upate na nguvu za kusonga mbele..

Mwachie Mungu akubebee mzigo wako Na uwe na imani katika kesho yenye mwanga.

Muda huponya, imani hutupa tumaini jipya na faraja iliyopotea

Sent using Jamii Forums mobile app

Kona kwenye BARABARA

Mara nyingine tunafika kwenye njia panda ya maisha na tunaona kile tunachofikiri ndio mwisho.

Lakini Mungu ana maono mapana zaidi Naye anajua ni kona tu njiani! itaendelea na kuwa nyoofu baada ya kusimama kwa ajili ya kupumzika,
Njia iliyofichwa zaidi yetu Mara nyingi ndiyo njia iliyo bora zaidi. Kwa hivyo pumzika kidogo ili upate na nguvu za kusonga mbele..

Mwachie Mungu akubebee mzigo wako Na uwe na imani katika kesho yenye mwanga.

Muda huponya, imani hutupa tumaini jipya na faraja iliyopotea

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kaka mkubwa
Nimekuelewa vzr sana Sana, Asante kwa andiko hili Mungu akuweke kwa ajili yetu
 
Lagertha pole sana dada yangu.
Maisha ya mwanadamu na pengine kiumbe yeyote hamna njia iliyo nyoofu ya moja kwa moja, kuna kupanda na kushuka kwingi.
Unachopitia muda huu ni moja wapo ya mlima wa kupanda,sio muda utaumaliza na kukutana na njia nyoofu, mbele kidogo utakutana tena na mteremko ,bonde, mlima ,kona nk.
Yote hii ni kawaida ya maisha.

Unachopitia kwa sasa kuna wengine wamepitia tena kubwa kuliko hilo lako lakini walivuka na kwa sasa wapo sehemu ya kusema asante Mungu .

Hivyo nawe kesho utasema asante Mungu, kwa sababu nyakati hazidumu iwe nyakati ngumu ama nyepesi.

Kwa sasa binafsi naona usizingatie kabisa kilicho tokea japo ngumu lakini ukijaribu utaweza, mzingatie mtoto mtarajiwa, muwekee malengo na nia njema, muandalie mazingira rafiki yanayo leta furaha.

Naamini hatutashindwa kabisa kujihudumia wakati wa kujifungua na uzazi, kwa sababu kuna ndugu upande wako hawatakuacha moja kwa moja.

Puuzia kabisa lililotokea, puuzia kabisa huyu baba , zingatia mambo mengine kabisa, toa hisia za maumivu , ikiwezekana liwaze sana hilo tukio, ukiweza lia machozi kabisa, ukimaliza kulia futa machozi nawa uso maji , jipake mafuta , lala kidogo , ukiamka liwe limefutika iwe mwanzo mpya wa amani.

Nimesikitika pamoja nawe, pole sana , yote ya yote maisha yanaendelea hivyo usijali sana .
Ahsante sana Kaka yangu kwa kuyabeba maumivu yangu, ni kweli kwa sasa natakiwa kuweka hisia chanya kwa ajili ya afya ya mtoto mtarajiwa, inaniumiza sana kulea mimba peke yangu na mume wangu bado nampenda sipendi anavyoteseka akiwa peke yake ila hajataka kunipa nafasi hiyo,
Naamini atarudi tena kwetu.
 
Naona hapo unatumia I'd ya Lagartha nafhani ni yule character was series wa Viking, hivyo basi pambana kama yule Dada alivyopambana.Life is full of shit lisipotokea kwako litatatokea kwa yule but yote is part of the game.
Ndio nampenda sana yule dada, character yake inanipa nguvu ya kupambana na kuyashinda majaribu ya dunia
 
Kuna mengi nahis umetuficha umeruhusu tujue front end ila back end umeficha!

Tuliza akili kula vzr pumzika lea mimba yako vzr kbs naamini mungu atakusaidia utajifungua salama, mtunzs mwanao mpaka miezi sita plus, then rudi kwenye drawboard pambana kwa maelezo yako una back up nzuri ya familia angalia cha kufanya
Ningesema niandike kila kipengele uzi ungekua mrefu sana na wenye kuchosha, ila hayo niliyoandika ndio hasa makubwa niliyopitia mengine ya kawaida tu kama wanaadam mambo ya hapa na pale hayakosekani
 
Ndugu yangu, hakuna Hali ya kudumu, Kila kitu kina mwanzo na mwisho, usiwakimbie wazee wako ukiwa katika Hali hiyo maana utawatia simanzi

Vumilia
Nimewahi pitia Hali hiyo na maisha yanaendelea
Hawa mbwa (kasoro baba angu) wote motoni
Amin
Pole na wewe ndugu yangu, napata moyo na mie nitayavuka haya na maisha yangu yatarudi kama kawaida,
Amiin [emoji120]
 
Back
Top Bottom