Moyo wangu unaungua, Akili inaharibika, Mwili unakonda, Mapenzi yanatesa sana

Ahsante sana ndugu yangu,
Ushauri wa kutokudai talaka nimeupokea, nitasubiri hadi nione hatma
 
Sawa kaka, ushauri wako nimeupokea, namuombea sana dua, naimani tutarudi kua family yenye upendo kama mwanzo
 
Stress wakati wa ujauzito sio nzuri Kwa afyayako na ya mwanao
Inaumiza kweli lakini kumbuka Mungu hawezi kukupa jaribu usiloliweza utavuka
Shika sana Sala hasa za usiku omba Kwa Imani Hilo litapita na utakuwa sawa
Amiiin dada,
Mola atanivusha [emoji120]
 
Ahsante sana, kwa sasa namuombea sana hasa kesi yake iishe, bado nina asilimia chache atarudi labda nikijifungua na akiiona damu yake
Hongera mamy inaonyesha jinsi ulivyo na mapenzi ya dhati lakini ninakusihi usiendelee kumuwazia mtu ambaye roho yake imeshajiondoa kwako.Jitahidi kuanza ku move on bila huyo jamaa maana hana msaada tena kwako.
 
Yaan watu wameshazoea kudanganywa danganywa tu, na kwenye mahusiano yao hivyo hivyo uongo uongo tu
Wanajua kila kitu ni uongo sababu wenyewe ni waongo, na hayo mahusiano yao ya uongo. Walete zao za ukweli basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…