Moyo wangu unaungua, Akili inaharibika, Mwili unakonda, Mapenzi yanatesa sana

Moyo wangu unaungua, Akili inaharibika, Mwili unakonda, Mapenzi yanatesa sana

Dunia ina mitihani mingi sana. Jipe moyo, songa mbele. Jamaa yako inaonekana alianza udokozi siku hizi watoto wa mjini wanaita madeal kwa tamaa ya pesa za haraka haraka.
Weka matumaini yako kwa Mungu, utakuwa salama sana.
 
Pole sana dada, Mungu akutie Nguvu na ujasiri wa kuyashinda. Akuongoze vyema. Hakika, jaribu lako ni zito.

Mie nashauri acha kumtafuta huyo mumeo, usimdai talaka labda kama unataka kuolewa na mwingine. Kwa Sasa usimdai talaka, subir mtoto azaliwe. Sali sana na Muombe Mungu muweza wa yote. Atakusimamia na kukuongoza vyema.

Simama imara, jikaze Dunia ni mapito.
 
Huyo tupa kule tafuta maisha yako kwanza jitegemee na mtoto ajae, lakini next time usikubali kuanza maisha na wanaume maskini ndugu yangu 😁😁
Wakipata tu huwa wanageuka washenziiii hakuna rangi utaacha kuona
 
Ulipoacha maombi tu ndipo shetani akakupiga vyovyote vile utakavyomkuta mwenza wako usikwazike elewa hio ni michezo ya kitoto ya shetani.
Kama u Mkristo sugua goti km u Muislamu cheza na Dua center.
Yatakwisha majaribu huja kutufunza atakaa sawa atakuwa baba Bora utoshangaa,ukikaa na kinyongo hata huyo mtoto utamchukia pili ni baraka kuzaa na mtu mmoja Bora Hilo Hilo goma lako upambane kuliweka sawa kuliko
 
Huyo tupa kule tafuta maisha yako kwanza jitegemee na mtoto ajae, lakini next time usikubali kuanza maisha na wanaume maskini ndugu yangu 😁😁
Wakipata tu huwa wanageuka washenziiii hakuna rangi utaacha kuona
Ushauri mbovu huu
 
Daah hata mimi nimeumia sana....pole sana ni vipindi tu katika safari ndefu ya maisha.
Ungesikia na story za upande wa pili unaweza kukuta huyu dada ni mtu wa dharau kwa mme wake, nyodo na viburi, ila hapa hawezi kusema kabisa. Some time wanawake ndio inakuwa chanzo cha mwanaume kuwa hivyo ila hapa hawezi kusema. Anyway kama yote uliyosema ni sahihi basi mwanaume ndio shida ila mi naamini angekuja hapa nae aseme ukweli mambo yangegeuka
 
Back
Top Bottom