Uchaguzi 2020 Moyo wangu utafurahi sana huyu Mwanamama akishindwa Oktoba

Uchaguzi 2020 Moyo wangu utafurahi sana huyu Mwanamama akishindwa Oktoba

Lagrange

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2017
Posts
2,365
Reaction score
2,732
Habari wakuu,

Siku ni njema na mambo sio mazuri kwa kiasi chake.

Kwakweli nitafurahi sana huyu mwanamama wa Mbeya akishindwa uchaguzi huu wa October, hana mvuto wa kisiasa kabisa, binafsi simpendi na namuombea mabaya.

Hivi virushwa anavyotoa kwa akina mama mpaka amefungua ofisi njia panda, mara vitamasha na ligi uchwara ni kutafuta tu malisho mazuri zaidi, hakuna lolote.

Niliumia sana mwaka 2019 alipopewa nafasi ya kuwasemea wana Mbeya akati yeye sio mbunge wa eneo husika, na mbaya zaidi mbunge husukia alikuwepo.

Nitafurahi sana akining'inizwa October.
 
Tulia atashindwa , huyo sugu anataka kurudi bungeni amalizie kulipa mkopo wa mil 700 alichukua kujenga hotel desderia, nyie mnajua anataka kuwasaidia. Tulia atawasaidia vizuri kwakuwa yupo karibu na Mkuu
 
Kumvua MTU ubunge akiwa kitandani anauguliza majeraha ni umbeya !!
. Sasa Nani atawatatulizia shida zao Wewe home kwenu babako akiumwa huna jukumu lolote? Huwezi kutatua matatizo ya home kwenu?
 
Tulia atashindwa , huyo sugu anataka kurudi bungeni amalizie kulipa mkopo wa mil 700 alichukua kujenga hotel desderia, nyie mnajua anataka kuwasaidia. Tulia atawasaidia vizuri kwakuwa yupo karibu na Mkuu

Yupo karibu na mkuu gani na kivipi? Yaani Mbunge ili afanye kazi yake inabidi awe karibu na mkuu? Acheni huu ujinga.
 
Ni mtu sahihi

Dada yangu Tulia Ackson hafai kuwa mwakilishi wa wananchi,

Tulia ni mtu wa kutanguliza maslahi yake na ya chama chake kwanza , hivyo hafai kwenye hiyo nafasi.
Basi mweke mzazi wako au ndugu yako au rafiki jamaa zako ufurahi na Moyo wako
 
Back
Top Bottom