Uchaguzi 2020 Moyo wangu utafurahi sana huyu Mwanamama akishindwa Oktoba

Wameshaanza figisu figisu kumtengenezea mazingira ya ushindi kwa kuanza kumdhibiti Sugu.Mchana huu wamemkamata Sugu alipokuwa akienda kuchukua fomu za mgombea.
Hapo sasa ndipo ma-strategist wa Tulia Ackson wanapokosea. Kitendo cha kumshika Sugu kinamuongezea Sugu kujubalika
 
Kama Mpiga kura Mbeya Mjini Mimi,Wake zangu 3,House Girl,Watoto wanne,Shamba boy,Mama na Baba Mzazi tutampigia kura Sugu bila chenga.

Ni hayo tu kwa leo
 
Tulia atawasaidia vizuri kwakuwa yupo karibu na Mkuu
Hakuna mbunge anayesaidia watu wewe Lumumba. Mbunge ni mwakilishi tu. Kazi yake ni kusikiliza na kubeba changamoto na nahitaji ya wanajimbo na kuyasemea serikalini.

Siyo kusaidia watu. Mbunge siyo mfadhili wala msamaria mwema. Amka wewe Lumumba.
 
Habari wakuu,

Siku ni njema na mambo sio mazuri kwa kiasi chake.

Kwakweli nitafurahi sana huyu mwanamama wa Mbeya akishindwa uchaguzi huu wa October, hana mvuto wa kisiasa kabisa, binafsi simpendi na namuombea mabaya.

Hivi virushwa anavyotoa kwa akina mama mpaka amefungua ofisi njia panda, mara vitamasha na ligi uchwara ni kutafuta tu malisho mazuri zaidi, hakuna lolote.

Niliumia sana mwaka 2019 alipopewa nafasi ya kuwasemea wana Mbeya akati yeye sio mbunge wa eneo husika, na mbaya zaidi mbunge husukia alikuwepo.

Nitafurahi sana akining'inizwa October.
Ndiyo Mbunge wa Mbeya Mjini pole sana!
 
Hivi ni kweli Sugu ameshikiliwa kwa maandamano ya kuchukua fomu? Hivi lazima uandamane kuchukua fomu? Mambo mengine haya kama ni kweli ni kuichokoza tu serikali.
Kizuia watu wasikusanyike unaingilia uhuru wa watu. Watu hukusanyika kwa sababu mbalimbali na sio kosa duniani. Huu ujinga wa kudhani kuna sheria inayozuia ndio maana unatumika kwa wapinzani kisiasa tu ila tunakusanyika madisko, minadani, masokoni na kwenye starehe.
 
Tulia atashindwa , huyo sugu anataka kurudi bungeni amalizie kulipa mkopo wa mil 700 alichukua kujenga hotel desderia, nyie mnajua anataka kuwasaidia. Tulia atawasaidia vizuri kwakuwa yupo karibu na Mkuu

Acha kuwaingiza wenzio Chaka.. Mkuu hanaga ukaribu na mtu kwanza akisharudi baada ya Kumaliza Kampeni sahau kuhusu kubebana.. hamuwezi mkachagua mtu kwa factor moja tu, ukaribu wake na Boss... Ingekua hivyo Basi mama Jesca Angekua Ni kimbilio la wanyonge.. maana ndo mkewe!!
Punguzaga ubwege na wewe
 
Habari wakuu,

Siku ni njema na mambo sio mazuri kwa kiasi chake.

Kwakweli nitafurahi sana huyu mwanamama wa Mbeya akishindwa uchaguzi huu wa October, hana mvuto wa kisiasa kabisa, binafsi simpendi na namuombea mabaya.

Hivi virushwa anavyotoa kwa akina mama mpaka amefungua ofisi njia panda, mara vitamasha na ligi uchwara ni kutafuta tu malisho mazuri zaidi, hakuna lolote.

Niliumia sana mwaka 2019 alipopewa nafasi ya kuwasemea wana Mbeya akati yeye sio mbunge wa eneo husika, na mbaya zaidi mbunge husukia alikuwepo.

Nitafurahi sana akining'inizwa October.
Dua la kuku........?
 
Akikishaa una MWANAMKE anaeweza kuhimili ugonjwa stroke USHAURI tu

Kwa Maandalizi aliyoyaanza mapema, Mikakati iliyopo na Msaada wa 'Kimamlaka' anaopata wenye 'Akili' tumeshajua ameshakuwa tu Mbunge huko.
 
Tulia atashindwa , huyo sugu anataka kurudi bungeni amalizie kulipa mkopo wa mil 700 alichukua kujenga hotel desderia, nyie mnajua anataka kuwasaidia. Tulia atawasaidia vizuri kwakuwa yupo karibu na Mkuu

Afrika tunakwama wapi?
Hivi kodi zetu zinakuaje hisani wakati wa kuleta maendeleo?

Kwa nini tusiikatae CCM na mifumo hiyo ya kikoloni ,kibaguzi, kijinga na roho mbaya na dhulma .
Siku CCM itakapokosa wabunge kwa 50% itakua ni jambo Jema ,hivi kweli Mbeya inayolisha chakula karibu nchi zote za Afrika Mashariki na Kati inageuka kuwa ni mkoa wa kutegemea huruma ya mtu mmoja badala ya kumkataa.
Mtu mmoja anakuwa na madaraka ya kuwanyima maendeleo walipa kodi zaidi ya milioni moja wa kwa sababu tu kuna mtu anamtaka awe mbunge wakati ana mamlaka ya kumteua na kumpa hata Ugavana wa Benki kuu.
Mungu akingilie kati na kumaliza hizi dhulma na dhambi zinazowafanya watu miungu wakati waliapa kwa kushika vitabu vitakatifu kuwa watlinda katiba na sheria.

Kama Kweli Mungu alimaliza Korona naamini hata dhulma ndani ya nchi hii itafikia mwisho mwaka huu.
 
Back
Top Bottom