Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Ni mtu sahihi
Dada yangu Tulia Ackson hafai kuwa mwakilishi wa wananchi,
Tulia ni mtu wa kutanguliza maslahi yake na ya chama chake kwanza , hivyo hafai kwenye hiyo nafasi.
Sidhani kama kuna chama au taasisi itakayo msajiri mwanachama ambaye hayupo tayari kusimamia maslahi ya chama/taasisi yake/chake!!
Ugly Reality!