Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyu bibi anatakiwa apate pigo haswa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananchi wa Mbeya watamchagua kiongozi anayewafaa ambaye sio Tulia Ackson.Basi mweke mzazi wako au ndugu yako au rafiki jamaa zako ufurahi na Moyo wako
Dah naona Tulia Akson mwenyewe kakujibu kumbe huwa yumo humu JFAsante Mkuu
Tulia atashindwa , huyo sugu anataka kurudi bungeni amalizie kulipa mkopo wa mil 700 alichukua kujenga hotel desderia, nyie mnajua anataka kuwasaidia. Tulia atawasaidia vizuri kwakuwa yupo karibu na Mkuu
Kumbe ndio yeyeUnataka kuniambia Uspika atausikia kwenye bomba?
Mmh una maslahi kwenye hili?Wivu Roho Mbaya Chuki Uroho & Uphumbhafu ndivo vinavokusumbua pole sana
Kama Mbowe alianguka mwenyewe kwa ulevi wake alafu akatangaza amepigwa na wasiojulikana ili apate kiki ,hata hizo ofisi zimechomwa na Chadema ili wapate kiki vizuri.
Kuna mtu mbona ana roho na chuki mbaya sana kama shetani,lakini kaokota "apple" chini ya mkorosho!!Ni kawaida kabisa kutompenda kila mtu, lakini huwezi kuwa Hatima ya maisha yake! Na usipoangalia unaweza kufa masikini Sana mkuu Kwa liroho la hovyo namna hiyo
Mkuu kafiiicha ila tumetambua codeKumbe ndio yeye
Yupo karibu na mkuu gani na kivipi? Yaani Mbunge ili afanye kazi yake inabidi awe karibu na mkuu? Acheni huu ujinga.