Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Ni mtu sahihi
Dada yangu Tulia Ackson hafai kuwa mwakilishi wa wananchi,
Tulia ni mtu wa kutanguliza maslahi yake na ya chama chake kwanza , hivyo hafai kwenye hiyo nafasi.
Labda atangazwe kwa nguvu kwa kupindua meza lkn ushindi wa kweli, haki na uwazi hawezi kushinda Mbeya.Habari wakuu,
Siku ni njema na mambo sio mazuri kwa kiasi chake.
Kwakweli nitafurahi sana huyu mwanamama wa Mbeya akishindwa uchaguzi huu wa October, hana mvuto wa kisiasa kabisa, binafsi simpendi na namuombea mabaya.
Hivi virushwa anavyotoa kwa akina mama mpaka amefungua ofisi njia panda, mara vitamasha na ligi uchwara ni kutafuta tu malisho mazuri zaidi, hakuna lolote.
Niliumia sana mwaka 2019 alipopewa nafasi ya kuwasemea wana Mbeya akati yeye sio mbunge wa eneo husika, na mbaya zaidi mbunge husukia alikuwepo.
Nitafurahi sana akining'inizwa October.
Na form zake wamesitorosha katika mazingira ya kutatanisha baada ya kumkamataHivi ni kweli Sugu ameshikiliwa kwa maandamano ya kuchukua fomu? Hivi lazima uandamane kuchukua fomu? Mambo mengine haya kama ni kweli ni kuichokoza tu serikali.
Msiye mtaka kaja, mtatafutana hadi pakufichia nyuso zenu mtakosa kwa aibu, ni mama tulia kipenzi cha wanambeya ni chaguo la wanyongeHabari wakuu,
Siku ni njema na mambo sio mazuri kwa kiasi chake.
Kwakweli nitafurahi sana huyu mwanamama wa Mbeya akishindwa uchaguzi huu wa October, hana mvuto wa kisiasa kabisa, binafsi simpendi na namuombea mabaya.
Hivi virushwa anavyotoa kwa akina mama mpaka amefungua ofisi njia panda, mara vitamasha na ligi uchwara ni kutafuta tu malisho mazuri zaidi, hakuna lolote.
Niliumia sana mwaka 2019 alipopewa nafasi ya kuwasemea wana Mbeya akati yeye sio mbunge wa eneo husika, na mbaya zaidi mbunge husukia alikuwepo.
Nitafurahi sana akining'inizwa October.
Aisee kwa serikali hii afe kipa afe beki lazima wataweka mpira kwapani huyu mama apiteHabari wakuu,
Siku ni njema na mambo sio mazuri kwa kiasi chake.
Kwakweli nitafurahi sana huyu mwanamama wa Mbeya akishindwa uchaguzi huu wa October, hana mvuto wa kisiasa kabisa, binafsi simpendi na namuombea mabaya.
Hivi virushwa anavyotoa kwa akina mama mpaka amefungua ofisi njia panda, mara vitamasha na ligi uchwara ni kutafuta tu malisho mazuri zaidi, hakuna lolote.
Niliumia sana mwaka 2019 alipopewa nafasi ya kuwasemea wana Mbeya akati yeye sio mbunge wa eneo husika, na mbaya zaidi mbunge husukia alikuwepo.
Nitafurahi sana akining'inizwa October.
Eti yuko karibu na mkuu. This is very foolish.Tulia atashindwa , huyo sugu anataka kurudi bungeni amalizie kulipa mkopo wa mil 700 alichukua kujenga hotel desderia, nyie mnajua anataka kuwasaidia. Tulia atawasaidia vizuri kwakuwa yupo karibu na Mkuu
Si roho yake wewe inakuhusu nini sasa?Ni kawaida kabisa kutompenda kila mtu, lakini huwezi kuwa Hatima ya maisha yake! Na usipoangalia unaweza kufa masikini Sana mkuu Kwa liroho la hovyo namna hiyo
Usiwe na wasiwasi. Mbona ameishashindwa mapema asubuhi?Unataka kuniambia Uspika atausikia kwenye bomba?
At the same time wanatakiwa wahakikishe mtu anauzika kwa wapiga kura or else wampitishe kwa mtutu wa bastolaSidhani kama kuna chama au taasisi itakayo msajiri mwanachama ambaye hayupo tayari kusimamia maslahi ya chama/taasisi yake/chake!!
Ugly Reality!
Hamna maslahi ila huyu mwanba katishaMmh una maslahi kwenye hili?
ya ngoswe mwachie ngosweHabari wakuu,
Siku ni njema na mambo sio mazuri kwa kiasi chake.
Kwakweli nitafurahi sana huyu mwanamama wa Mbeya akishindwa uchaguzi huu wa October, hana mvuto wa kisiasa kabisa, binafsi simpendi na namuombea mabaya.
Hivi virushwa anavyotoa kwa akina mama mpaka amefungua ofisi njia panda, mara vitamasha na ligi uchwara ni kutafuta tu malisho mazuri zaidi, hakuna lolote.
Niliumia sana mwaka 2019 alipopewa nafasi ya kuwasemea wana Mbeya akati yeye sio mbunge wa eneo husika, na mbaya zaidi mbunge husukia alikuwepo.
Nitafurahi sana akining'inizwa October.
.πππ We jitoe ufahamu ila utajickia aibuWananchi wa Mbeya watamchagua kiongozi anayewafaa ambaye sio Tulia Ackson.