Moze Iyobo: Hata kama Aunty kanizidi umri 'Haihusu'

Kapatwa....

huwezi jua shangazi akatulia akajiweka kiwife material mpaka tukashangaa, hivi vitu vinachosha ujue, kama ni kuhangaika kutafuta mwanaume mwenye pesa kama dangote wa wanaijeria kashajitahidi sana, lakini kaishia kupigwa na vyupa mpaka ngeu, never know she already learned from her mistakes
 
Aunt ana kisasi chake kwa aliyowahi kufanyiwa na mumewe Jack Pemba.Nae kaamua kuwaliza wenzie kwa kuwachukulia mabwana zao.....
Ila hapa kwa Iyobo kaangukia pua aisee,hata mimi nifah japo si celebrity siwezi toka na Iyobo.
Hahah nifah usimtukane mamba kabla hujavuka mto. Mi nishashuhudia mademu wengi sana wanakula matapishi yao kwenye mambo kama haya.
 
Hahah nifah usimtukane mamba kabla hujavuka mto. Mi nishashuhudia mademu wengi sana wanakula matapishi yao kwenye mambo kama haya.

Over my dead body!
Hakika nimemaanisha nilichokisema.
 
Hahah nifah usimtukane mamba kabla hujavuka mto. Mi nishashuhudia mademu wengi sana wanakula matapishi yao kwenye mambo kama haya.

Kuna mmoja huyo alikuwa haishi kuwasema vibaya Wahaya. Kwamba hawezi kuchukuliwa na Mhaya.

Mpaka mahkaji mmoja Muhaya alipomzima nyodo.
 
ile mimba ndugu zangu mi nahisi kanyaboya km sio mheshimiwa sijui mi nawaambia tu jamani!

mwenzangu maana aunty sio wa kumwamini kama aliweza kumsaliti mume wake wa ndoa kwa kubeba mimba ya nje atashindwa nini kumdanganya huyo andunje mchezo kwaito za virabuni....we ngoja tu wambea yetu macho.
 

siku izi pesa ndo kila kitu bhana, ebu waangalie watoto wa zari wale watatu maisha wanayoishi? wanaishi maisha ya kitajiri kila kitu wanapewa, ila baba yao yupo south....katika maisha watoto wakilelewa kwa kupewa kila kitu hadi wazazi wao wanawasahau...tatizo pesa
 
Na amwagiwe tu,naona bado hajampata kiboko yake baada ya yule aliyemvunjia chupa bills.
Aunty sijui ana laana gani!..looh

yule demu alimkomesha mpaka kesho ana kovu mkononi hakyanani hawezi kumsahau....angemchana na wembe usoni yule
 
mbona huyo jamaa kama ana miaka 43 hivi!au siku hizi wanazeeka mapema?

kakomaa tu na maish yule sio mzee kihivyo ni shidaa tu sasa sijui akizeeka sura itakuwaje ptuuu
 
Mhhh ninachokiona hapa ni dharau za kazi ya mwanaume kisa Mcheza shoo ! Kwani halipwi ? anaexpousure anasafiri Marikani mpaka Uchina , Kwa Malkia mpaka Scandinavia, Haya Bado Rwanda & Burundi , Uganda ,kENYA , anapewa fedha za kujikimu , sidhani Diamond Mnyonyaji Semeni mengine kama kipato anacho cha kumtosha
 

Kwa hiyo unataka kusema hiyo expousure ya kusafiri kwenda kukata kiuno kwenye ngololo ndio chanzo cha kipato cha kutosha kumlea mtoto na mama yake?bora angekua mwanamke wa kawaida....mwanamke anayependa starehe kama Aunty....kweli?
Huyo Moze kama humjui kuna mwanamke kazaa naye mtoto bado ni mdogo hatoi pesa hata ya kununua lactogen.....
Muulize warumi.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa,ndege mjanja kanaswa kwenye tundu bovu.
Hii couple ya mondi na wema ilitengeneza couples nyingine...Esma na Petit,Aunt na Iyobo.....
Wasingeachana sijui ingeongezeka ipi!
Sasa hapo tundu bovu huyo dancer au miss bongo movie hahahaha?:mullet::wacko:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…