Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Ni Malaya clasic bingwa wa kuchukua wanaume wenye pesa ss watu wanashangaa kwa nn kaenda kwa MTU kapuku wamesahau hata changudoa huwa ana mpenzi wake
kwi kwi kwi kwiiii uuuwiii!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Malaya clasic bingwa wa kuchukua wanaume wenye pesa ss watu wanashangaa kwa nn kaenda kwa MTU kapuku wamesahau hata changudoa huwa ana mpenzi wake
Hivi hapo ni nani imekula kwake?? moze kapata au kapatwa??
Hahahaha acha dogo afaidi
Hicho kivulana sasa na vimavazi vyake!!!ptuuuuu!!!!!!
Kapatwa....
Hahah nifah usimtukane mamba kabla hujavuka mto. Mi nishashuhudia mademu wengi sana wanakula matapishi yao kwenye mambo kama haya.Aunt ana kisasi chake kwa aliyowahi kufanyiwa na mumewe Jack Pemba.Nae kaamua kuwaliza wenzie kwa kuwachukulia mabwana zao.....
Ila hapa kwa Iyobo kaangukia pua aisee,hata mimi nifah japo si celebrity siwezi toka na Iyobo.
Hahah nifah usimtukane mamba kabla hujavuka mto. Mi nishashuhudia mademu wengi sana wanakula matapishi yao kwenye mambo kama haya.
nifah mi chichemi sana ila angalia sana.Over my dead body!
Hakika nimemaanisha nilichokisema.
Hahah nifah usimtukane mamba kabla hujavuka mto. Mi nishashuhudia mademu wengi sana wanakula matapishi yao kwenye mambo kama haya.
ile mimba ndugu zangu mi nahisi kanyaboya km sio mheshimiwa sijui mi nawaambia tu jamani!
Ukiwa na watoto 10, hususan wenye mama tofauti, hata uwe na hela vipi huduma safi na inayostahiki ya mzazi kutumia muda pamoja na mwanawe inakuwa mgogoro.
Usifikiri huduma zote ni vitu ambavyo pesa inaweza kununua, kuna vingine haviwezi kununulika kwa pesa.
Mhhh ninachokiona hapa ni dharau za kazi ya mwanaume kisa Mcheza shoo ! Kwani halipwi ? anaexpousure anasafiri Marikani mpaka Uchina , Kwa Malkia mpaka Scandinavia, Haya Bado Rwanda & Burundi , Uganda ,kENYA , anapewa fedha za kujikimu , sidhani Diamond Mnyonyaji Semeni mengine kama kipato anacho cha kumtosha
Ndio kachomekea.Unashangaa nini?Aunty mbona mswahili sana?Hujawahi kumuona akiwa kwenye vigodoro eeh?
Inamaana ni mfuasi wa vigdoro?
Dah! ujanja wote huo.
Sasa hapo tundu bovu huyo dancer au miss bongo movie hahahaha?:mullet::wacko:Hahahaaa,ndege mjanja kanaswa kwenye tundu bovu.
Hii couple ya mondi na wema ilitengeneza couples nyingine...Esma na Petit,Aunt na Iyobo.....
Wasingeachana sijui ingeongezeka ipi!