Moze Iyobo: Hata kama Aunty kanizidi umri 'Haihusu'

nyuma ya pazia kuna yule wa wanyama uyu asituchezee akili uyu dogo wacha kigodoro kiendelee
 
Sasa hapo tundu bovu huyo dancer au miss bongo movie hahahaha?:mullet::wacko:

Dancer ndio tundu bovu.Aunty nimjuaye mimi sio wa kuzaa na mkata kiuno......
Anyways,watajijua wenyewe.
 
Yaani kwa huyo Moze sijui moza kachemka saana tu.. ndege mjanja kanasa kwenye tundu bovu.. ila hili ubovu umezidi wallah

Heaven on Earth huyu mdogo wako natulia na kisuruali chake tu. Sijui huwa wanavitoa wapi,aliyeanzisha mambo ya fashion kaleta Mtihani mkubwa kabisa.Kisuruali hiki kikishika moto kikiwa mwilini mwake mpaka akija kukivua na koroda zitakuwa zishateketea. Vijana wana kazi.
 
Acheni kuingilia maamuzi ya watu.Binadamu hubadilika hata changudoa anaweza kua mke bora.Naona watu hasa wanawake wanahukumu wakati nao waliolewa wakiwa hawana bikra kudhihirisha kua nao walikua mal.ay.a kabla.
 
nyuma ya pazia kuna yule wa wanyama uyu asituchezee akili uyu dogo wacha kigodoro kiendelee

Probably usemacho, nadhani dogo anataka kupeleka watu maboya, si walikuwa wote kwa Obama muda ule
 
Probably usemacho, nadhani dogo anataka kupeleka watu maboya, si walikuwa wote kwa Obama muda ule

tumsubiri kijacho mbivu na mbichi zitajulikana sura ya kijacho itakua ya mkata mauno au wanyama pori na utalii
 
Yaani dogo anabetua kavu hili dudumizi? Kuna watu wana roho ngumu sana duniani
 
Acheni kuingilia maamuzi ya watu.Binadamu hubadilika hata changudoa anaweza kua mke bora.Naona watu hasa wanawake wanahukumu wakati nao waliolewa wakiwa hawana bikra kudhihirisha kua nao walikua mal.ay.a kabla.

Umejuaje kama ni wanawake wakati ni fake ID's?
 
Dogo atakua ni mzuri sana chumvini.. Na anaza kutafuna vizuri.. Acha aendelee kula vyake

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wala hatukushangai wewe, tunamshangaa huyo cheusi dawa wako jinsi alivyokuwa akijifanya matawi ya juu kuangukia kwa kapuku kama wewe, sisi hatukushangai wewe maana tunakujua vizur ni mcheza shoo wa diamond

Hahahaa huwa napenda ukishaleta ubuyu unaanza kujibu kwanza mwenyewe
 
Mi nastaajabu tu kwa iko kivulana kwa kuingia bila buti ila kama walipima nakapa hongera
 
tumuache kitu gani? lazima tumchambe bwana sio mwanaume wa kuzaa na auny yule , sura hana pesa hana na elimu hana, yani bwana ake yupo yupo tu kama treni ya mwakyembe haeleweki

hahahahaaaaa
 
Dancer ndio tundu bovu.Aunty nimjuaye mimi sio wa kuzaa na mkata kiuno......
Anyways,watajijua wenyewe.
Dancer kaonesha juhudi miss bongo movie hakohoi usije na ww one day yakakukumba na sie tukabaki midomo wazi?
 
Hahahaaa,ndege mjanja kanaswa kwenye tundu bovu.
Hii couple ya mondi na wema ilitengeneza couples nyingine...Esma na Petit,Aunt na Iyobo.....
Wasingeachana sijui ingeongezeka ipi!

Ya mimi na wewe ingefuatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…