Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo tundu bovu huyo dancer au miss bongo movie hahahaha?:mullet::wacko:
Yaani kwa huyo Moze sijui moza kachemka saana tu.. ndege mjanja kanasa kwenye tundu bovu.. ila hili ubovu umezidi wallah
nyuma ya pazia kuna yule wa wanyama uyu asituchezee akili uyu dogo wacha kigodoro kiendelee
Probably usemacho, nadhani dogo anataka kupeleka watu maboya, si walikuwa wote kwa Obama muda ule
Acheni kuingilia maamuzi ya watu.Binadamu hubadilika hata changudoa anaweza kua mke bora.Naona watu hasa wanawake wanahukumu wakati nao waliolewa wakiwa hawana bikra kudhihirisha kua nao walikua mal.ay.a kabla.
Dogo atakua ni mzuri sana chumvini.. Na anaza kutafuna vizuri.. Acha aendelee kula vyake
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mkuu sio China Dubai na hata kesi yake haijasomwa yuko kwenye nondo warabu hawana haraka nae....mumewe kakamatwa na madawa uko china
Wala hatukushangai wewe, tunamshangaa huyo cheusi dawa wako jinsi alivyokuwa akijifanya matawi ya juu kuangukia kwa kapuku kama wewe, sisi hatukushangai wewe maana tunakujua vizur ni mcheza shoo wa diamond
tumuache kitu gani? lazima tumchambe bwana sio mwanaume wa kuzaa na auny yule , sura hana pesa hana na elimu hana, yani bwana ake yupo yupo tu kama treni ya mwakyembe haeleweki
Dancer kaonesha juhudi miss bongo movie hakohoi usije na ww one day yakakukumba na sie tukabaki midomo wazi?Dancer ndio tundu bovu.Aunty nimjuaye mimi sio wa kuzaa na mkata kiuno......
Anyways,watajijua wenyewe.
Hahahaaa,ndege mjanja kanaswa kwenye tundu bovu.
Hii couple ya mondi na wema ilitengeneza couples nyingine...Esma na Petit,Aunt na Iyobo.....
Wasingeachana sijui ingeongezeka ipi!
Dancer kaonesha juhudi miss bongo movie hakohoi usije na ww one day yakakukumba na sie tukabaki midomo wazi?
Ya mimi na wewe ingefuatia