Moze Iyobo: Hata kama Aunty kanizidi umri 'Haihusu'

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
DANSA grade one wa Nasibu Abdul ‘Diamond', Moses Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt Ezekiel amemzidi umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo . Akizungumza na mwanahabari wetu juzikati, Iyobo alisema watu wengi wamekuwa wakihoji yeye kumpenda Aunt ambaye ana umri wa miaka 29, hawajui tu mapenzi hayaangalii umri kwani miaka ni namba tu za kuhesabika.

"Age is just a number, mimi sioni tatizo kuwa na Aunt. Nategemea anizalie, awe mama wa watoto wangu. Kuhusu wale wanaosema nina mke mwingine, si kweli yule nilizaa naye tu lakini kwa Aunt ndiyo nimefika" alisema Iyobo ambaye ana umri wa miaka 23.
 
Attachments

  • 1421574382920.jpg
    1421574382920.jpg
    79.6 KB · Views: 3,392
Wala hatukushangai wewe, tunamshangaa huyo cheusi dawa wako jinsi alivyokuwa akijifanya matawi ya juu kuangukia kwa kapuku kama wewe, sisi hatukushangai wewe maana tunakujua vizur ni mcheza shoo wa diamond
 
Khaaaa khaaaa khaaa ukistaajabu ya wema utayaona ya Shoga ake

Moze iyobo aka Mgambia
 
haaaaa.......matawi saa nyingine yanakatwa au yanapukutika......

ahahahh mwenzangu, matawi yameangukia chooni...khaa aiseh hata kama mapenzi hayachugui kwa aunty big no kwa kweli, kwanza mke wa mtu , anapata wapi ujasiri huu? tena yuko poa kabisa, anaifundisha nini jamii? hawa wasanii inabidi watungiwe sheria, maana wana haribu sana vijana wa kike wanaowatazama kwwnye media, tena huyo aunty anyongwe kabisa pumbafu zake sio umalaya huu kwa kweli
 
Hahahaaa,ndege mjanja kanaswa kwenye tundu bovu.
Hii couple ya mondi na wema ilitengeneza couples nyingine...Esma na Petit,Aunt na Iyobo.....
Wasingeachana sijui ingeongezeka ipi!
 
Jamani amependa visuruali hivyo anavyovaa.akiwaza kina papaa so and so wanavaa mabwanga anaona bora mose.
 
ahahahh mwenzangu, matawi yameangukia chooni...khaa aiseh hata kama mapenzi hayachugui kwa aunty big no kwa kweli, kwanza mke wa mtu , anapata wapi ujasiri huu? tena yuko poa kabisa, anaifundisha nini jamii? hawa wasanii inabidi watungiwe sheria, maana wana haribu sana vijana wa kike wanaowatazama kwwnye media, tena huyo aunty anyongwe kabisa pumbafu zake sio umalaya huu kwa kweli

Aunt ana kisasi chake kwa aliyowahi kufanyiwa na mumewe Jack Pemba.Nae kaamua kuwaliza wenzie kwa kuwachukulia mabwana zao.....
Ila hapa kwa Iyobo kaangukia pua aisee,hata mimi nifah japo si celebrity siwezi toka na Iyobo.
 
Last edited by a moderator:
Jamani amependa visuruali hivyo anavyovaa.akiwaza kina papaa so and so wanavaa mabwanga anaona bora mose.

khaaa.. labda kaona mapedeshee wote hawana uwezo wa kumdhalisha akaona bora liende tu maana umri unaenda... ila kila la kheri kama ndoto zake za kuzaa zimeanza kutimia ila kwa kweli huyo baba hapana jamani si bora angezaa ba huyo nyalandu ikaeleweka tu, na usikute hiyo mimba sio ya moze iyobo kama aliweza msaliti mume wa ndoa atashindwa kwa huyo hawara? aunty ni nyoka mwenye sumu kali sana sio mwanamke yule pambafu zake
 
Aunt ana kisasi chake kwa aliyowahi kufanyiwa na mumewe Jack Pemba.Nae kaamua kuwaliza wenzie kwa kuwachukulia mabwana zao.....
Ila hapa kwa Iyobo kaangukia pua aisee,hata mimi nifah japo si celebrity siwezi toka na Iyobo.

kachukua maamuzi magumu mno kuzaa na mshkaji, aunty ni bingwa wa kutoka na wanaume za watu tena wenye pesa na hadhi zao sasa leo iweje tena kwa kapuku tena na mimba kabeba, kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni.
 
Last edited by a moderator:
warumi

alisema Iyobo ambaye ana umri wa miaka 23 .[/QUOTE]

Si tuliambiwa,Aunt ana mume Dubai au kimeshanukA?
 
Last edited by a moderator:
kachukua maamuzi magumu mno kuzaa na mshkaji, aunty ni bingwa wa kutoka na wanaume za watu tena wenye pesa na hadhi zao sasa leo iweje tena kwa kapuku tena na mimba kabeba, kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni.

Kwa hili nimemdharau sana Aunty.Sasa alikua anakana nini hadi kumtukana yule mwanamke aliyezaa na Iyobo?Kumbe dada wa watu alikua na haki kweli ya kumtukana Aunty.Tena mtoto wao bado mdogo masikini!
 
aunty jambazi lile, dawa yake ni kumwagia tindikali tu
 
DANSA grade one wa Nasibu Abdul ‘Diamond', Moses Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt Ezekiel amemzidi umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo . Akizungumza na mwanahabari wetu juzikati, Iyobo alisema watu wengi wamekuwa wakihoji yeye kumpenda Aunt ambaye ana umri wa miaka 29, hawajui tu mapenzi hayaangalii umri kwani miaka ni namba tu za kuhesabika.

“Age is just a number, mimi sioni tatizo kuwa na Aunt. Nategemea anizalie, awe mama wa watoto wangu. Kuhusu wale wanaosema nina mke mwingine, si kweli yule nilizaa naye tu lakini kwa Aunt ndiyo nimefika” alisema Iyobo ambaye ana umri wa miaka 23.

daah aunt ezekiel si bora angekuja kwangu mimi tu mtumishi wa umma mwenye ajira ya kudumu ningemkabidhi ATM card yangu na lile shamba langu la mifugo kule vikindu angekua kila siku anaeletewa hesabu ya maziwa,sasa moze anategemea kudra za diamond siku akitoswa ndio basi tena....maskini aunt dooh!
 
Back
Top Bottom