๐— ๐—ฝ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐——๐—ฃW ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐˜‚๐—ฑ๐—ต๐—ถ๐—ฏ๐—ถ๐˜๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ฒ๐˜๐˜‚ ๐—บ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ผ ๐—ป๐—ถ ๐˜€๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ wao

Mara nyingi serikali ya CCM imekuwa ikituibia vingi kwa siri, ila hapa kwa DPW serikali ya Samia imetumia akili ndogo sana kutudanganya.

Naamini iko siku atakuja Rais anayejielewa airudishe bandari yetu mikononi mwetu.
Bandari tulikua tunaendesha wenyewe tukakosa uaminifu wizi , rushwa na ukwepaji kodi ulikua mkubwa sana.hivi sasa mambo hayo hakuna .bandari ilikua ni kichaka cha wapigaji. Mama samia kafanya vizuri sana kuibinafsisha.
 
Ngoja nisubscribe, hizi nyuzi za jamii forums mbeleni huwa zinaibuka tu kukumbushia kuwa watu walisema na kujua nani alikuwa sahihi na nani alikosea.
 
Mara nyingi serikali ya CCM imekuwa ikituibia vingi kwa siri, ila hapa kwa DPW serikali ya Samia imetumia akili ndogo sana kutudanganya.

Naamini iko siku atakuja Rais anayejielewa airudishe bandari yetu mikononi mwetu.
Gharama ya kuinunua au kuvunja nkataba itakuwa ni kumlipa huyo DP mara tatu ta mapato yake Kwa miaka 30 inayokuja
 
Msingi wa kusema ni batili ni nini.
Hapakuwa na kura ya maoni ya wazi Ili kuamua jambo Hilo ambalo halimo kwenye Katiba ya CCM, halijaruhusiwa na Katiba na halimo kwenye Ilani ya chama.

Bandari ni jambo la Muungano, unaweza kunambia kwanini IGA haihusishi bandari za Zanzibar?

Uchaguzi wa 2025 tutaona Mengi.

Tusubiri.
 
Tayari DP World wameshachukua udhibiti wa bandari ambayo ni urithi wetu kutoka kwa Mungu.

1. Mpaka sasa Rais hajaweka wazi Tanzania itapata Tsh. ngapi kwa mwezi kupitia mapato ya bandari ambayo kuanzia sasa yatakusanywa na DP World kama taarifa ya TPA niliyoambatanisha hapa inavyoeleza.

2. Kwamba hapo awali mapato yetu pale bandarini yalikuwa wazi ila kwa sasa yatakuwa siri kati ya DP World na Samia.

3. Pamoja na uboreshaji wa bandari hizo kupitia pesa zetu na mkopo kutoka WB bado Samia na serikali yake hawajaweka wazi kwamba hao DP World wamewekeza kiasi gani zaidi ya kuja kuvuna shamba ambalo tumelilima kwa jasho na damu kwa ajili ya watoto wa Tanganyika na Tanzania.

4. Mpaka sasa Samia na serikali yake wamekataa kuweka wazi mikataba ya kukabidhi bandari hizo kwa waarabu wa DP World. Tunaambiwa ni uwekezaji lakini hatuoneshwi mikataba hiyo ili tuipitie tuone kama uwekezaji huo una faida au hasara.

Samia anapaswa kupingwa na kila mtu mwenye akili timamu na mzalendo wa taifa hili. Sisi hatuna nchi nyingine isipokuwa hii Tanganyika aliyotupa Mungu. Sasa kama Samia atakuwa anaendelea kuingia mikataba ya siri na mibovu ya kuuza rasilimali nitakuwa tayari kwa lolote kulinda rasilimali na ardhi ya nchi yetu.

Mungu bariki Tanganyika.

Mungu bariki Zanzibar.

Mungu bariki Tanzania.

Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2959439
ungeweka wazi kwanza kwenye hili unapata shilingi ngap ๐Ÿ’

angalau kwenye mengine inafahamika unakopwa ๐Ÿ’

By the way Eid Mubarak ๐ŸŒน
 
Hapakuwa na kura ya maoni ya wazi Ili kuamua jambo Hilo ambalo halimo kwenye Katiba ya CCM, halijaruhusiwa na Katiba na halimo kwenye Ilani ya chama.

Bandari ni jambo la Muungano, unaweza kunambia kwanini IGA haihusishi bandari za Zanzibar?

Uchaguzi wa 2025 tutaona Mengi.

Tusubiri.
Kwa ushauri wa kisheria na ni vizuri utafute wataalamu wa Sheria , kama msingi wa Madai yako upo Sawa au upo nje ya reli.
 
Kwa ushauri wa kisheria na ni vizuri utafute wataalamu wa Sheria , kama msingi wa Madai yako upo Sawa au upo nje ya reli.
Nasemaje,

Ubatili huu utakomeshwa tu,

Na HAKIKA tutawafukuza hao maharamia.

Kesi Iko mahakamani na mahakamani ilikiri IGA ni BATILI.

Hatimaye tutashinda.
 
Back
Top Bottom