Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Bro utaonekana msaliti lakini jina lako litakumbukwa siku ambayo wanyonywaji wataishiwa damu na kuanza kutapatapa kama wafa maji.
Hii nchi imejaa upuuzi wa hali ya juu. Wachache wanaoifaidi hawajali as long as wanapokea mikwanja ya kushanta kwenye offshore accounts na familia zao ziko well off
Kwa kweli uharamia aliotufanyia Rais Samia na genge lake kupitia ile IGA ya kishenzi, inatosha kufuta zuri lolote alilolifanya kwa Tanganyika. Lakini ipo pia ile mikataba ile 30 ya hovyo ya kuwagawia waarabu misitu na mbuga zetu za wanyama. Kwa uharamia ule, hawa watu kuna siku wataulipa. Katika uharamia huo wote, hakuna rasilimali hata moja ya Zanzibar, zote ni za Tanganyika.