๐— ๐—ฝ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐——๐—ฃW ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐˜‚๐—ฑ๐—ต๐—ถ๐—ฏ๐—ถ๐˜๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ฒ๐˜๐˜‚ ๐—บ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ผ ๐—ป๐—ถ ๐˜€๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ wao

Tayari DP World wameshachukua udhibiti wa bandari ambayo ni urithi wetu kutoka kwa Mungu.

1. Mpaka sasa Rais hajaweka wazi Tanzania itapata Tsh. ngapi kwa mwezi kupitia mapato ya bandari ambayo kuanzia sasa yatakusanywa na DP World kama taarifa ya TPA niliyoambatanisha hapa inavyoeleza.

2. Kwamba hapo awali mapato yetu pale bandarini yalikuwa wazi ila kwa sasa yatakuwa siri kati ya DP World na Samia.

3. Pamoja na uboreshaji wa bandari hizo kupitia pesa zetu na mkopo kutoka WB bado Samia na serikali yake hawajaweka wazi kwamba hao DP World wamewekeza kiasi gani zaidi ya kuja kuvuna shamba ambalo tumelilima kwa jasho na damu kwa ajili ya watoto wa Tanganyika na Tanzania.

4. Mpaka sasa Samia na serikali yake wamekataa kuweka wazi mikataba ya kukabidhi bandari hizo kwa waarabu wa DP World. Tunaambiwa ni uwekezaji lakini hatuoneshwi mikataba hiyo ili tuipitie tuone kama uwekezaji huo una faida au hasara.

Samia anapaswa kupingwa na kila mtu mwenye akili timamu na mzalendo wa taifa hili. Sisi hatuna nchi nyingine isipokuwa hii Tanganyika aliyotupa Mungu. Sasa kama Samia atakuwa anaendelea kuingia mikataba ya siri na mibovu ya kuuza rasilimali nitakuwa tayari kwa lolote kulinda rasilimali na ardhi ya nchi yetu.

Mungu bariki Tanganyika.

Mungu bariki Zanzibar.

Mungu bariki Tanzania.

Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2959439
Sumu ya nyigu si lolote iwapo sumu ya nyuki ni tiba.
 
Watanzania ni wajinga hadi mafuta yawe na bei ya shilingi 3000000 ndio tuamke
Kuamka kwenda wapi. Ni nchi gani duniani ambako bidhaa zake zinateremka kila kuchao. Acha ubwabwajaji. Wengine tumeamka labda wewe ndo umelala unaburuzwa na wanasiasa uchwara. Amka.
 
Mara nyingi serikali ya CCM imekuwa ikituibia vingi kwa siri, ila hapa kwa DPW serikali ya Samia imetumia akili ndogo sana kutudanganya.

Naamini iko siku atakuja Rais anayejielewa airudishe bandari yetu mikononi mwetu.
Paragraph ya kwanza, jibu lake ni goli la Aziz ki dhidi ya mamelod.
Paragraph ya pili, jibu lake ni magufuli the second au magufuli wa pili ambae sijui atakuja karne ya ngapi.
 
Bandari tulikua tunaendesha wenyewe tukakosa uaminifu wizi , rushwa na ukwepaji kodi ulikua mkubwa sana.hivi sasa mambo hayo hakuna .bandari ilikua ni kichaka cha wapigaji. Mama samia kafanya vizuri sana kuibinafsisha.
Angalau tulijua kuwa tulikuwa tunaibiwa, kulikuwa na option moja mbele, kufanya juu chini kukomesha huo wizi na uzembe, niliuliza hivi, ukiwa baba wa familia, na miongoni mwa watoto wako wakawa wanakuibia hapo nyumbani au shambani utatafuta baba mwingine aje kuisimamia familia yako? Au utatumia nguvu zako za ubaba kuhakikisha kuwa wizi unakoma? Ukishindwa hapo ubaba wako utakuwa na mushkeri.
 
Tayari DP World wameshachukua udhibiti wa bandari ambayo ni urithi wetu kutoka kwa Mungu.

1. Mpaka sasa Rais hajaweka wazi Tanzania itapata Tsh. ngapi kwa mwezi kupitia mapato ya bandari ambayo kuanzia sasa yatakusanywa na DP World kama taarifa ya TPA niliyoambatanisha hapa inavyoeleza.

2. Kwamba hapo awali mapato yetu pale bandarini yalikuwa wazi ila kwa sasa yatakuwa siri kati ya DP World na Samia.

3. Pamoja na uboreshaji wa bandari hizo kupitia pesa zetu na mkopo kutoka WB bado Samia na serikali yake hawajaweka wazi kwamba hao DP World wamewekeza kiasi gani zaidi ya kuja kuvuna shamba ambalo tumelilima kwa jasho na damu kwa ajili ya watoto wa Tanganyika na Tanzania.

4. Mpaka sasa Samia na serikali yake wamekataa kuweka wazi mikataba ya kukabidhi bandari hizo kwa waarabu wa DP World. Tunaambiwa ni uwekezaji lakini hatuoneshwi mikataba hiyo ili tuipitie tuone kama uwekezaji huo una faida au hasara.

Samia anapaswa kupingwa na kila mtu mwenye akili timamu na mzalendo wa taifa hili. Sisi hatuna nchi nyingine isipokuwa hii Tanganyika aliyotupa Mungu. Sasa kama Samia atakuwa anaendelea kuingia mikataba ya siri na mibovu ya kuuza rasilimali nitakuwa tayari kwa lolote kulinda rasilimali na ardhi ya nchi yetu.

Mungu bariki Tanganyika.

Mungu bariki Zanzibar.

Mungu bariki Tanzania.

Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2959439
hivi wewe huo uongo wako utakufikisha wapi?
 
Naamini iko siku atakuja Rais anayejielewa airudishe bandari yetu mikononi mwetu.
Kutoka CCM? zaidi atairudisha kwenye mikono ya mafisadi wa CCM waitafune hiyo pesa. Mimi naunga mkono bandari kupewa mwekezaji kama mkataba ukiwa rafiki ila sio kuwaachia hao TPA ambao kwa mwaka wa 15 sasa kila ripoti ya CAG inaonyesha wizi wa kutisha. Private sector huwezi iba utafukuzwa tu au kuleta delays ili uhongwe utaondolewa maana ni business oriented.

Mjadala uwe mkataba rafiki sio kuirudisha TPA ni yaleyale tu
 
Hii Nchi inahitaji mtu mwenye quality ya uzalendo kama Nyerere na dikiteta kama Magufuli.
Mie kinachoniumiza roho,ni kuwa jamaa wamewekeza kiasi cha Shs .Trillion 1 sawa na mapato ya saaa ya TPA kwa Mwaka.
Afrika ni zaidi ya undondocha
.
 
Kinachosikitisha zaidi watanzania hao hao utawakuta wakitandika nguo zao wagombea wapite bila kupingwa
 
In short do not waste your time to fight for Tanzanians
 
Wawekezaji nchi hii ni wengi.

Je ni wawekezaji gani mapato tunayopata yapo wazi?

Mkataba gani wa uwekezaji ulishawahi kuwekwa wazi?

Sikubalian na usiri wa mikataba au mapato Ila tuweke rekodi Sawa
 
Mara nyingi serikali ya CCM imekuwa ikituibia vingi kwa siri, ila hapa kwa DPW serikali ya Samia imetumia akili ndogo sana kutudanganya.

Naamini iko siku atakuja Rais anayejielewa airudishe bandari yetu mikononi mwetu.
Serikali ikishawaibia hupeleka wapi ilivyoviiba!?
 
Tayari DP World wameshachukua udhibiti wa bandari ambayo ni urithi wetu kutoka kwa Mungu.

1. Mpaka sasa Rais hajaweka wazi Tanzania itapata Tsh. ngapi kwa mwezi kupitia mapato ya bandari ambayo kuanzia sasa yatakusanywa na DP World kama taarifa ya TPA niliyoambatanisha hapa inavyoeleza.

2. Kwamba hapo awali mapato yetu pale bandarini yalikuwa wazi ila kwa sasa yatakuwa siri kati ya DP World na Samia.

3. Pamoja na uboreshaji wa bandari hizo kupitia pesa zetu na mkopo kutoka WB bado Samia na serikali yake hawajaweka wazi kwamba hao DP World wamewekeza kiasi gani zaidi ya kuja kuvuna shamba ambalo tumelilima kwa jasho na damu kwa ajili ya watoto wa Tanganyika na Tanzania.

4. Mpaka sasa Samia na serikali yake wamekataa kuweka wazi mikataba ya kukabidhi bandari hizo kwa waarabu wa DP World. Tunaambiwa ni uwekezaji lakini hatuoneshwi mikataba hiyo ili tuipitie tuone kama uwekezaji huo una faida au hasara.

Samia anapaswa kupingwa na kila mtu mwenye akili timamu na mzalendo wa taifa hili. Sisi hatuna nchi nyingine isipokuwa hii Tanganyika aliyotupa Mungu. Sasa kama Samia atakuwa anaendelea kuingia mikataba ya siri na mibovu ya kuuza rasilimali nitakuwa tayari kwa lolote kulinda rasilimali na ardhi ya nchi yetu.

Mungu bariki Tanganyika.

Mungu bariki Zanzibar.

Mungu bariki Tanzania.

Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2959439
NJIA ZA JANJA JANJA ZINAANZA KUFUNGWA RASMI, MAMBO YAMEANZA KUWEKWA HADHARANI NA KWENYE MSTARI MNYOOFU.
Naingiza mzigo, kodi yake ni kiasi hichi, nalipa natoa mzigo, wale wa ohhoo ngoja, mtu wa kusaini hayupo, sijui yupo likizo, inabidi tumtafute yule atusaidie lakini inabidi tu mpooze kwa laki 5, ujinga huu unakwenda kwisha,
THANKS YOU MAMA SAMIA, THE WAY HUPENDI LONGO LONGO NA RUSHWA.
 
Back
Top Bottom