๐— ๐—ฝ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐——๐—ฃW ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐˜‚๐—ฑ๐—ต๐—ถ๐—ฏ๐—ถ๐˜๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ฒ๐˜๐˜‚ ๐—บ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ผ ๐—ป๐—ถ ๐˜€๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ wao


Kwa kweli uharamia aliotufanyia Rais Samia na genge lake kupitia ile IGA ya kishenzi, inatosha kufuta zuri lolote alilolifanya kwa Tanganyika. Lakini ipo pia ile mikataba ile 30 ya hovyo ya kuwagawia waarabu misitu na mbuga zetu za wanyama. Kwa uharamia ule, hawa watu kuna siku wataulipa. Katika uharamia huo wote, hakuna rasilimali hata moja ya Zanzibar, zote ni za Tanganyika.
 
Kwa kweli huyu mzanzibari, kwa suala la kupora rasilimali za Tanganyika na kisha kuziuza kwa Waarabu, amewachafua wengi.
 
Siku Ile ya kusaini HJA pale Dodoma, ukiiangalia video Ile,

Yule mzungu alivyokuwa na wasiwasi, lazima tu ustuke, pale yalikuwa ni maigizo na utapeli.
Samia, Mbarawa, Rostam, Abdul na hawa wengine waliohongwa pesa ndogo ndogo, hawastahili kusamehewa milele. Uharamia wao utabakia katika historia kizazi hadi kizazi.
 
Bandari tulikua tunaendesha wenyewe tukakosa uaminifu wizi , rushwa na ukwepaji kodi ulikua mkubwa sana.hivi sasa mambo hayo hakuna .bandari ilikua ni kichaka cha wapigaji. Mama samia kafanya vizuri sana kuibinafsisha.
Ule siyo ubinafsishaji bali ni uporaji wa rasilimali. Soma IGA ndiyo utajua kuwa ule ni ushenzi wa hali ya juu.
 
Nasemaje,

Ubatili huu utakomeshwa tu,

Na HAKIKA tutawafukuza hao maharamia.

Kesi Iko mahakamani na mahakamani ilikiri IGA ni BATILI.

Hatimaye tutashinda.
Ni kweli. Mahakama ilisema wazi kuwa mkataba ni batili kwa kuwa unapingana na sheria za nchi, lakini kwa vile bunge limeridhia, hawana uwezo wa kuingilia maamuzi ya mhimili mwingine!!
 
apo kwenye Mungu ibariki zanzibar umekosea
 

Na punguani kama ninyi ndio mtamwangamiza bi Tozo.

Ile IGA ni ya kishenzi kabisa kwa sababu inapora sovereignity ya nchi, na pia inakiuka sheria za nchi.

Kikubwa ambacho nampongeza mleta mada, ni kuwakumbusha Watanzania kuwa bandari yetu imeporwa na hawa maharamia kwa kushirikiana na wasaliti wa nchi kupitia IGA ya kishenzi.
 
Wewe ni nani hata uanikiwe mapato ya biashara za watu?

Ngoja ripoti za kila mwaka uende BRELA ukachukuwe data za kampuni uitakayo.

Mnajifanya mnajuwa kumbe hamna unachokijuwa.
 
Mdude unapotosha kwa makusudi
Rais ana nguvu gani? Kuna bunge la Tanzania limebariki. Kama unavyosema ndio hivyo Kuna haja gani bodi ya mkopo kusomesha vijana wa Tanzania bara? Maana bunge ndio chenye nguvu nchini
Hakuna kitu pale, ni kwamba walishakaa na kukubaliana kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake sasa ole wako umtaje mwenzio watakusuta mpaka basi, hivi miaka 10 hadi 20 eti hakuna waziri aliyepatikana kwa rushwa, Tz ni ulaya aisee.
 
Ni kweli. Mahakama ilisema wazi kuwa mkataba ni batili kwa kuwa unapingana na sheria za nchi, lakini kwa vile bunge limeridhia, hawana uwezo wa kuingilia maamuzi ya mhimili mwingine!!
Na Bado utabaki kuwa BATILI sababu

1.Hapakuwa na uchaguzi 2020.

2. Wananchi hatukuwatuma wabunge kuuza bandari.
 
Nchi inaendeshwa na sheria na taratibu zilizopangwa kwa yeyote atakaekua Rais. Familia yako siku nyingine anaendesha mkeo siku nyingine watoto au mama mkwe.
 
Tunaungaga hivi hivi hoja ambazo ni hasara kwetu na mwisho Serikali huja na kauli mbiu ya kuomba msamaha tena tunaongoza kwa kuunga mkono hoja hiyo na kuifanya Serikali ituone mazuzu kila siku.
 
Umeelewa hoja yake lakini mkuu
Au ndo wa kujibu kabla kuelewa
Wazee wa nusu degree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ