Mpaka leo kuna watu hawamiliki magari? Huo si uchizi?


Gari ni full cash ila nyumba utaunga unga
 
Naona unawapa matango pori mashoga na machizi wenzako wa jamii forum
 
Huo uchizi umekuanza lini.
 
Huu mwaka wetu juzi umetutukania wazazi wetu kua hawakuwekeza, jana ukatusema wapangaji na leo umeona umalize kwa sisi watembea kwa miguu.
 
Acha kumficha uyo fisi kwa mgongo wa kutumia gari,,,,mali zenu za ndagu ndo zilivyo.
 
🤣🤣
 
"Kwa miaka hii magari yalivyo bei rahisi yaani milioni mbili tu mtu unapata ndinga kali"

🤣🤣🤣🤣
 

Mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…