Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,901
- 3,941
acha bangi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani inakera hivi kweli mtu mpaka leo Hamiliki magari au Gari? Kwa miaka hii magari yalivyo bei rahisi yaani milioni mbili tu mtu unapata ndinga kali? Halafu la kinyama kinoma yaani kutomili Gari miaka hii huo ni ukora na uchizi kupitiliza.
Yaani mimi sihangaiki kupiga stories na mtu ambaye hamiliki nikuona wewe humility Gari nakufukuza mimi kampani yangu ni ya watu wanaomiliki magari.
Kama haumiliki Gari jiangalie mara mbili mbili we unaweza kuwa chizi au akili zako haziko vizuri! Badilika miliki ndinga kali na miliki mtoto mkali bikes.
This thread posted by someone who drive Mark X, Jeep, and many many cars.
Disorder? Kama haujui njoo nikupe somo chizi weBipolar Disorder & PTSD is real wakulungwa tushakupoteza kwenye hizo corridor za hapo milembe umeiba simu ya daktari ngoja aje Intelligent businessman umempoteza mgonjwa wako huku uje umchukue
Mama yko mzazi?Uyu mbona ana utindio wa ubongo kashasmaga
Naona unawapa matango pori mashoga na machizi wenzako wa jamii forumTunaomba radhi kwa wale wote watakaokwazika mwandishi ni mmoja wa wagonjwa wetu katika hospital ya crazy for life.
Ndugu Mwana mzizima , alifanikiwa kutoroka jana na kuiba simu za ofisi na Sasa anaropoka hovyo tu.
tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia swala hili hivyo mvumilieni.
Naambatanisha ushahidi wa vyeti alivyovipata kutoka hospital
View attachment 2476239
Hahahaha umeachiwa tena hio simu ya hapo ofisini milembe?Unaijua bipolar
Disorder? Kama haujui njoo nikupe somo chizi we
Huo uchizi umekuanza lini.Yaani inakera hivi kweli mtu mpaka leo Hamiliki magari au Gari? Kwa miaka hii magari yalivyo bei rahisi yaani milioni mbili tu mtu unapata ndinga kali? Halafu la kinyama kinoma yaani kutomili Gari miaka hii huo ni ukora na uchizi kupitiliza.
Yaani mimi sihangaiki kupiga stories na mtu ambaye hamiliki nikuona wewe humility Gari nakufukuza mimi kampani yangu ni ya watu wanaomiliki magari.
Kama haumiliki Gari jiangalie mara mbili mbili we unaweza kuwa chizi au akili zako haziko vizuri! Badilika miliki ndinga kali na miliki mtoto mkali bikes.
This thread posted by someone who drive Mark X, Jeep, and many many cars.
🤣🤣🤣🤣 Japan used....Unakuja kutupigia kelele na gari ya milioni mbili
Kweli?
🤣🤣Tunaomba radhi kwa wale wote watakaokwazika mwandishi ni mmoja wa wagonjwa wetu katika hospital ya crazy for life.