Mpaka leo kuna watu wanatumia Tecno na Infinix

Mpaka leo kuna watu wanatumia Tecno na Infinix

Enyi watu badilikeni basi inakuaje mpaka leo kuna watu wanatumia tecno? Kuna jamaa mmoja nimepishana nae njiani eti linatumia tecno aisee nilishikwa na kichefuchefu nusura nitapike yaani jinsi nilivyokerekwa na kuchukia baada kumuona linatumia tecno hebu badilikeni.

Yaani mimi nikimuona mtu anatumia tecno na infinix hata akiniomba msaada simsaidii jinsi ninavyokerekwa hivyo yaani mtu akitumia tecno na infinix mimi naona kama ni wagonjwa akili.


Serikalu fanyeni muanze kutoa mikopo ya hizo za Samsung na iPhone watu waache kutumia mabomu.

This thread posted by using Samsung note 10 plus 5G
Kwani jf ya Samsung na infinix ni tofauti?
 
Huyu jamaa si bure itakua jamaa wameshamkazua nuts zote sio kwa kukerekwa huko na visivyomuhusu
 
Back
Top Bottom