Mpaka leo sielewi kigezo alichotumia Diamond kuvutiwa na Maromboso hatimaye kumsajili kwenye lebo yake

Kila mtu Mungu kampangia njia zake za kutoka kimaisha hata kama kwa binadamu itakuwa ngumu kupata majibu ya kwanini?ilkuaje?hata huyu?kivipi?

So,usiingilie rizki za watu...kuna watu tunamuelewa huyo mbosso kuliko unavofikiria,na tunaamini atatoboa tu kwa kadri siku zinavyokwenda na msasa anaopigwa pale WCB.

Ameleta ladha tofauti ya mziki pale wcb...let him alone African voice!
 
WCB first lady angepaswa awe Ruby... queen darleen angekuwa ofisini tu...

Mbosso na lava lava hata mimi siwaelewi.. wanaimba bongo fleva ya kizamani sana.. ile ya kina duly ya enzi hizooo
 
Mwanaume aliyekamilika asikilizagi nyimbo za wabana pua wote akiwemo diamond na Alikiba.
 
Hamna lolote pale
 
Kwa Nini unapenda kusema aibu za mwenzako ? So ustaarabu hata kidogo inawezekana Ni ugonjwa au ulemavu,kwa Nini Sasa unafanya ndo kivumishi chake ??.
Siyo ustaarabu mkuu,acha hizo
 
Usipokua mchawi utakua mshirikina au mfuga majini mana sio kwa chuki hiyo.

Ukizungumzia muziki wewe itakua hujui lolote kuhusu mziki labda ngoma za kienyeji.
Kweli unasema mboso hajui kitu??sifa kubwa ktka muziki ni kusound uniquely ili kujitengenezea identity na brand,,katika hilo bwana mdogo mboso amejitahidi japo inabidi akaze buti kujitengenezea brand yake.

Acha chuki binafsi na roho Mbaya,, , sapoti mziki wa kwenu. Bila shaka we ni mwana fisiemu ndo wenye vipaji vya chuki na uuaji
 


Lebo si Ya Diamond, anapakaziwa tu na yeye kuona ujiko.
 
Kama mmetokea kijiji kimoja ndo ashakupiga gap,hata kama hajui kuimba shooo anapiga ,mshahara anakula
Acha asafirie nyota wasafi ndo kashaandikiwa kupita hapo unapoona hastahili kuwepo.
Tanzania ya viwanda
 
Mtoa mada sijui umetumia vigezo gani ila nachojua
Muziki mbosso anaujua na silazima akulizishe weeewe wapo watu walikaa chini tena wenye uelewa mkubwa wa muziki na kuamua kumpa nafasi
Ni swala la muda tu......
 
Hapo chakufanya ni kumpa uzoefu Kiukweli bado hajaiva lakini nafikiri pale anaweza kupata uzoefu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…