Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #21
Aondolewe pale wasafi hatumtakiMkipata jibu nini kifanyike mtanitag
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aondolewe pale wasafi hatumtakiMkipata jibu nini kifanyike mtanitag
Sawa.kama ushawai kusikia wasafi imevamiwa na mapunga basi mleta mada ni mmoja wao
Huo ndio ukweli mkuuUchawi mtupu
Hamna lolote paleKila mtu Mungu kampangia njia zake za kutoka kimaisha hata kama kwa binadamu itakuwa ngumu kupata majibu ya kwanini?ilkuaje?hata huyu?kivipi?
So,usiingilie rizki za watu...kuna watu tunamuelewa huyo mbosso kuliko unavofikiria,na tunaamini atatoboa tu kwa kadri siku zinavyokwenda na msasa anaopigwa pale WCB.
Ameleta ladha tofauti ya mziki pale wcb...let him alone African voice!
OkMwanaume aliyekamilika asikilizagi nyimbo za wabana pua wote akiwemo diamond na Alikiba.
Kwa Nini unapenda kusema aibu za mwenzako ? So ustaarabu hata kidogo inawezekana Ni ugonjwa au ulemavu,kwa Nini Sasa unafanya ndo kivumishi chake ??.Ukiachana na yule muimba kaswida mwenye aibu aibu nyingi pindi akiwa jukwaani ambaye pia inasemekana ni nyoka wa kibisa Mr Lavalava , mpaka leo sielewi kigezo alichotumia diamond kumsajili huyu mluga luga kutoka yamoto Maromboso.
Huyu jamaa kwanza hana swaga, mshamba sana mpaka sura yake imekaa kishamba shamba, hajui kuimba na hana nyimbo za amsha amsha
Sasa sijui alijazwa ujinga na akina Tale mpaka akamchukua huyu dogo kishikaji yaani hata sielewi elewi kwa kifupi anaboa .
Natamani leo kesho mkataba wake na wasafi uvunjwe atuondolee kiwingu tu maana tangu aje pale wasafi ametuletea nuksi tupu.
Usipokua mchawi utakua mshirikina au mfuga majini mana sio kwa chuki hiyo.Ukiachana na yule muimba kaswida mwenye aibu aibu nyingi pindi akiwa jukwaani ambaye pia inasemekana ni nyoka wa kibisa Mr Lavalava , mpaka leo sielewi kigezo alichotumia diamond kumsajili huyu mluga luga kutoka yamoto Maromboso.
Huyu jamaa kwanza hana swaga, mshamba sana mpaka sura yake imekaa kishamba shamba, hajui kuimba na hana nyimbo za amsha amsha
Sasa sijui alijazwa ujinga na akina Tale mpaka akamchukua huyu dogo kishikaji yaani hata sielewi elewi kwa kifupi anaboa .
Natamani leo kesho mkataba wake na wasafi uvunjwe atuondolee kiwingu tu maana tangu aje pale wasafi ametuletea nuksi tupu.
Ukiachana na yule muimba kaswida mwenye aibu aibu nyingi pindi akiwa jukwaani ambaye pia inasemekana ni nyoka wa kibisa Mr Lavalava , mpaka leo sielewi kigezo alichotumia diamond kumsajili huyu mluga luga kutoka yamoto Maromboso.
Huyu jamaa kwanza hana swaga, mshamba sana mpaka sura yake imekaa kishamba shamba, hajui kuimba na hana nyimbo za amsha amsha
Sasa sijui alijazwa ujinga na akina Tale mpaka akamchukua huyu dogo kishikaji yaani hata sielewi elewi kwa kifupi anaboa .
Natamani leo kesho mkataba wake na wasafi uvunjwe atuondolee kiwingu tu maana tangu aje pale wasafi ametuletea nuksi tupu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu lavalava na huyo mluga luga mboso ni mizigo pale wasafiBora saiv utampumzisha lavalava [emoji23][emoji23][emoji23]