Mpaka leo sielewi kigezo alichotumia Diamond kuvutiwa na Maromboso hatimaye kumsajili kwenye lebo yake

Mpaka leo sielewi kigezo alichotumia Diamond kuvutiwa na Maromboso hatimaye kumsajili kwenye lebo yake

Mbosso kweliii hamna kitu mule... Yaani diamond anajitahidi sana kumpa promo lakini wapi..

Lavalava fundi yule.. Nyimbo zake analia sana
 
Mkuu una hisa wasafi?...mboso anatafuta ugali ujue...acha roho mbaya jombaa
 
yaani mboso ongezea na vile vitenge vya esma eti ndio baloz wao hua nacheka sana
 
uje uangalie yule muimba kaswida utahis anasoma albadiri muda wote mnamwita lavalava hua nacheka mno.
 
wcb rich, rayvann, harmonise hao kidogo amsha amsha ilikuepo
 
Kwa jinsi ulivyowasilisha uzi wako,namashaka na wewe,ni MWANAUME kweli kaongea maneno hayo ?
mshamba,mlugaluga,hana swaga.
sa we swaga za mwanaume mwenzako unazitakia nini ?
kweli kuna watanzania vichaa.
 
Ulitaka akushirikishe [emoji23][emoji23][emoji23] wewe kama Nani ake labda
 
Kwa kumtazama tu umehisi lavalava ni mchicha mwiba,sawa..!
Ila na mimi kwa lugha uliyotumia kwenye hili bandiko naamini kabisa kuwa wewe ni mchele kibua..!
Mtoto wa kiume hawezi tumia aina ya lugha uliyotumia..!

Eti moja kati ya sababu zako za kumchukia Mbosso ni kuwa hana mvuto,mtoto wa kiume unaanzaje kuhoji mvuto wa mwanaume mwenzako..!?
Aisee...

Wanawake wa kizazi hiki wana shida kubwa mno,coz wanaume halisi ni wachache mno..!
 
WEWE INAKUUMA NINI?ACHA WATU WASAJILI WATU WANAOWATAKA.NADHANI KAMA HAWAJASAJILI MTU KUNA VIGEZO WANAANGALIA KAMA TAASISI YAN WATU WANAKAA CHINI NA KUCHUKUA MTU.
SIO MAAMUZI YA PAPARA KAMA ULOCHUKUA WEWE KUANDIKA HUU UZI.KWA TAARIFA YAKO MBOSSO ALIKUWA NA MONDI WAKATI ANA SHOOT VIDEO YA ENEKA.

We ndio mtangazaj wa clouds sio? Au kuna mtu kaiba jina
 
Back
Top Bottom