Nkobe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 2,204
- 3,277
Ukisoma historia ya Lebanon, hadi miaka ya 1960, ilikuwa nchi ya Wakristu. Kama ilivyo kawaida kwa jamii za Kikristu, Focus yao kubwa ilikuwa ni elimu, kusali na kufanya kazi kwa bidii, hii iliifanya Beirut kuitwa Paris ndogo.
Kosa lililofanyika ni kuruhusu Wasiria na Wapalestina kuhamia na kufanya kazi za vibarua, matokeo yake wamezaana kama siafu na Wakristo leo kujikuta ni 43%.
Hii imesababisha kuzaliwa kwa vikundi vya jihad ndani ya Lebanon, matokeo yake sasa hivi Lebanon ni nchi masikini na inapambana hali ngumu ya ki uchumi, mauwaji yenye mlengo wa kidini.