Unaitaka hiyo historia mkuu? Naijua in and out. Hao crusaders walikua wanapambana na Roman empire; Roman empire walikua wanawaua Wakristo wa kweli, hao Wakristo uvumilivu uliwaishia wakaona nao wajibu, waliuawa wengi cause walikua wanapambana na dola ya RUMI. Baadae Dola ya Rumi ikajiuliza; why tunawapiga hao ilihali na sisi watu wanajua kua ni Wakristo? Then kikao kika kaa wakaona waanzishe dini mpya, hiyo dini mpya ilitengenezwa na Roman Catholic na mtume wake baada ya kutokewa na majini, pdre wa Roman Catholic ndio aliyemtamkia kwamba ajitabirie kwamba katokewa na malaika aliyewatokea Musa nk......, ndio baadae dini hiyo ikaenezwa kwa upanga, maeneo walioyalenga ni yale yale yaliokua na Wakristo wengi, kuanzia Asia ngodo, Ulaya mashariki, Misri, Libya na Africa kaskazini yote. Dini hiyo hiyo hadi leo inapenda sana KUUA, yaani popote waliopo hakunaga AMANI, hata wakikaa wenyewe kwa wenyewe lazima wapigane vita. Swali lingine?