Mpaka miaka ya 1960's Lebanon ilifahamika kama Paris ndogo ya Mashariki ya Kati

Mpaka miaka ya 1960's Lebanon ilifahamika kama Paris ndogo ya Mashariki ya Kati

Amani au uoga na ujinga wa raia kama wewe wakati watu wana tekwa hadharani na kuawa ndo Amani au kwasbb halijakukuta wewe na familia yako.
Unaandika haya sababu ya Amani uliyonayo....nenda Congo au Sudan
 
Ukisoma historia ya Lebanon, hadi miaka ya 1960, ilikuwa nchi ya Wakristu. Kama ilivyo kawaida kwa jamii za Kikristu, Focus yao kubwa ilikuwa ni elimu, kusali na kufanya kazi kwa bidii, hii iliifanya Beirut kuitwa Paris ndogo. Kosa lililofanyika ni kuruhusu Wasiria na Wapalestina kuhamia na kufanya kazi za vibarua, matokeo yake wamezaana kama siafu na Wakristo leo kujikuta ni 43%, hii imesababisha kuzaliwa kwa vikundi vya jihad ndani ya Lebanon, matokeo yake sasa hivi Lebanon ni nchi masikini na inapambana hali ngumu ya ki uchumi, mauwaji yenye mlengo wa kidini
Uwongo mwingi, wakristu wa lebanon ni mabaki ya crusaders ambao salahud din aliwaacha na kuwazingira baada ya kuwabonda miji mingine, waislam wa lebanon hawatokani na vibarua wa syria kama ulivyodai
 
Akili mbovu za Putin kutumia mbinu za akina Manka Kankan Musa wa Ghana ya kale kukuza milki yake kwa kuteka nchi zingine.
Hii ni dunia iliyojaa watu wenye tamaa, uovu na ubabe.

Ukitaka kuishi kwa amani fuata sheria na masharti ya wakubwa, kubali kupangiwa namna ya kuishi.
Ukikataa kipigo kinakuhusu...
Iraq, Libya, Syria, Somalia, Afghanistan, Japan n.k na sasa Ukraine...

Waliokubali masharti U.A.E, Qatar, Kuwait, Oman, Saudi Arabia n.k wamekubali na wanaishi kwa amani.

Russia ilishakua nchi tishio duniani wakati wa Soviet era, ilikuwa superpower ya kweli na tishio.

Ni mfano wa tajiri halafu afilisike, bado atakuwa na vi element flani hivi na personality na lifestyle la utajiri. Same to Russia, ina element za superpower.

Superpower akiongea inabidi utekeleze, ukikataa kichapo kinakuhusu... Hio ni hata kwa dola za kale kama Rumi, Persia, Ottoman n.k hao sifa yao ilikuwa ni kama US ilivyo leo, tena hata US hajafanya ukatili kama hizo empires...

Ukraine inapigwa kwasababu hawajasikiliza maelezo ya Russia ambae ameshuka cheo kidogo kuwa regional superpower lakini akiwa na tabia zote za u superpower.
 
Umesema kama ilivyo kawaida ya wakristu kifaumbele ni elimu na kujituma unaongeleaje Hawa 76% wa Tanganyika?
Na vipi kuhusu Dubai?
Dubai hawataki Sharia za Kiislam masaa 24 unawaza msikiti na miongozo ya imani iliyotungwa na vizazi vya miaka ya 1600 ambapo haiendani na kasi ya dunia ya sasa. Dubai ni full kujiachia, hakuna kulazimishana kufunga biashara ili kwenda msikitini, mwanamke sio mfugo, anaruhusiwa kutoka na kufanya kazi
 
Migogoro ya kisiasa+kuingilia vita katika mataifa mengine imewarudisha nyuma kiuchumi. Mfadhili mkubwa ni Iran lakini msaada wake ni kwenye kupigana na si kiuchumi
 
Uwongo mwingi, wakristu wa lebanon ni mabaki ya crusaders ambao salahud din aliwaacha na kuwazingira baada ya kuwabonda miji mingine, waislam wa lebanon hawatokani na vibarua wa syria kama ulivyodai
So tunakubaliana Uislam na vita plus mauajia ya kijinga ni kama maji na samaki right? Naelewa sasa, why Nyerere alilazimisha muungano na visiwani or else, huku bara kusingekalika cause Waislam wana kiu ya damu za binadamu wenzao
 
Hata Afghanistan miaka ya nyuma ilikuwa vizuri. Ila haya magaidi yameiharibu sana
 
Ukisoma historia ya Lebanon, hadi miaka ya 1960, ilikuwa nchi ya Wakristu. Kama ilivyo kawaida kwa jamii za Kikristu, Focus yao kubwa ilikuwa ni elimu, kusali na kufanya kazi kwa bidii, hii iliifanya Beirut kuitwa Paris ndogo. Kosa lililofanyika ni kuruhusu Wasiria na Wapalestina kuhamia na kufanya kazi za vibarua, matokeo yake wamezaana kama siafu na Wakristo leo kujikuta ni 43%, hii imesababisha kuzaliwa kwa vikundi vya jihad ndani ya Lebanon, matokeo yake sasa hivi Lebanon ni nchi masikini na inapambana hali ngumu ya ki uchumi, mauwaji yenye mlengo wa kidini
Pamoja na hayo yote mkuu. Ukitembea nchi zote za kiarabu hakuna nchi nzur kama Lebanon. Huwez kuamin uoto wake wa asili kama upo uarabuni.
 
So tunakubaliana Uislam na vita plus mauajia ya kijinga ni kama maji na samaki right? Naelewa sasa, why Nyerere alilazimisha muungano na visiwani or else, huku bara kusingekalika cause Waislam wana kiu ya damu za binadamu wenzao
Unajua crusaders ni akina nani na walitoka wapi?..unajua mauaji waliyofanya jerusalem kwa wayahudi, waislam na makristo wa orthodox?..unajua mauaji waliyofanya hapo kwa karne kabla Salah din hajaibuka,unajua mauaji yaliyofanywa na wakristu new Zealand, australia, USA,unajua vita ya kwanza watu wangapi waliuawa!?..unajua toka 2000 ni vita vingapi wakiristo wa ulaya na marekani wamevifanya duniani!?..
 
So tunakubaliana Uislam na vita plus mauajia ya kijinga ni kama maji na samaki right? Naelewa sasa, why Nyerere alilazimisha muungano na visiwani or else, huku bara kusingekalika cause Waislam wana kiu ya damu za binadamu wenzao
Una umri gani?..kajifunze kuhusu crusade,new Zealand australia USA na vita vya dunia, mashariki ya Kati,halafu jiulize Kati ya mkristu na muislam nani mpenda damu
 
Back
Top Bottom