Mpaka muda huu ni wazi kuwa Wasafi Festival ni Joka la kibisa kwa Tigo Fiesta.

kwa taarifa yako wasafi wana fanbase kubwa sana kuliko media zote...
MAWINGU wanatumia nguv kubwa kushindana na wasafi ila wasafi hawashindani na mawingu
 
Mshindani wa Wasafi festival ni Nandy Festival huyu mwingine ndio mlezi wao wote
 
Mshindani wa Wasafi festival ni Nandy Festival huyu mwingine ndio mlezi wao wote
Clouds wanawazuia wasanii kushiriki wasafi festival , wasafi wapo tayar kushiriki fiesta lakn clouds hawana mtonyo wa kuwalipa....
Taasisi inapambana na one man show
 
Hapa umeongea uharo [emoji57]
 
Wasafi fesivo sijui clouds, hawa kama hawawapi shavu wasanii wa hip hop basi wote wanacheza hide and seek
 
Clouds wanawazuia wasanii kushiriki wasafi festival , wasafi wapo tayar kushiriki fiesta lakn clouds hawana mtonyo wa kuwalipa....
Taasisi inapambana na one man show
Soma nilichoandika, rudia ulichoandika, tafakari ulichoandika, rekebisha ulichoandika then post utachoandika nitag nisome ulichoandika
 
Clouds wanawazuia wasanii kushiriki wasafi festival , wasafi wapo tayar kushiriki fiesta lakn clouds hawana mtonyo wa kuwalipa....
Taasisi inapambana na one man show
Msanii ambaye alikuwa wa gharama pale Wasafi alikuwa ni Konde boy tu wale wengne Hata kwa konyagi show wanafanya tu,acha uzezeta.
 
Ndio maana tumemsajili Kitenge and the likes,soon things will be okay,worry not funs,wcb 4ever
 
Hapa umeongea uharo [emoji57]
Tatizo nimejiuliza "Nimeonhea uharo kwenye akili yako,Nikapata jibu kua Nimeongea Usafi kwenye akili ya funza wa chooni Do lazima ataona usafi ni uchafu"

Yakuhitaji Akili ndogo kupembenua mambo na si ushabiki MaV tu. But
👊
👎
 
Unaonekana ni shabiki maandazi, huo udhamini wa vimilioni vichache unaweza kufananisha na udhamini wa Tigo?hao wasafi hawaisogelei clouds hata inch moja
 
Unaonekana ni shabiki maandazi, huo udhamini wa vimilioni vichache unaweza kufananisha na udhamini wa Tigo?hao wasafi hawaisogelei clouds hata inch moja
Vihela vidogo shilingi ngapi? Mkataba unao wakuonyesha hizo hela? Fiesta zamani walikuwa wanapiga mikoa zaidi ya 15,mbona mwaka huu wanapiga mikoa 7,sababu wewe unazani ni nini?
 
Wasafi inaendesha na mood ya sallam na mganga wa tale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…