Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huoni balaa hilo sasa kwamba TAASISI inashindana na MTU MMOJA aisee aibuuuuuu kichiziClouds ni Taasisi.
Wasafi ni Diamond
Sawa Tanashakwa taarifa yako wasafi wana fanbase kubwa sana kuliko media zote...
MAWINGU wanatumia nguv kubwa kushindana na wasafi ila wasafi hawashindani na mawingu
Clouds wanawazuia wasanii kushiriki wasafi festival , wasafi wapo tayar kushiriki fiesta lakn clouds hawana mtonyo wa kuwalipa....Mshindani wa Wasafi festival ni Nandy Festival huyu mwingine ndio mlezi wao wote
SwadaktaMshindani wa Wasafi festival ni Nandy Festival huyu mwingine ndio mlezi wao wote
Hapa umeongea uharo [emoji57]Tofautisha bei....5000 kwa 10000 na promo kibao...
Hebu jiulize ingekua Wasafi radio inasikika mikoa yote....
Kwenye bei weka mfano wa Tecno na Samsung hapa bongo.... Utapata jibu wspi ni wengi..
Fiesta inabebwa na promo pamoja na kushuka bei....pia imeogopa mikoa yote yenye ushindani....hadi Dar kweli...
Bongo fleva itakufa ila Hip hop itabaki mileleDiamond akiisha kisanii na Wasafi media itakufa kifo cha mende..
Soma nilichoandika, rudia ulichoandika, tafakari ulichoandika, rekebisha ulichoandika then post utachoandika nitag nisome ulichoandikaClouds wanawazuia wasanii kushiriki wasafi festival , wasafi wapo tayar kushiriki fiesta lakn clouds hawana mtonyo wa kuwalipa....
Taasisi inapambana na one man show
Msanii ambaye alikuwa wa gharama pale Wasafi alikuwa ni Konde boy tu wale wengne Hata kwa konyagi show wanafanya tu,acha uzezeta.Clouds wanawazuia wasanii kushiriki wasafi festival , wasafi wapo tayar kushiriki fiesta lakn clouds hawana mtonyo wa kuwalipa....
Taasisi inapambana na one man show
Huyo kitenge kule EFM alifanya nin?Ndio maana tumemsajili Kitenge and the likes,soon things will be okay,worry not funs,wcb 4ever
Tatizo nimejiuliza "Nimeonhea uharo kwenye akili yako,Nikapata jibu kua Nimeongea Usafi kwenye akili ya funza wa chooni Do lazima ataona usafi ni uchafu"Hapa umeongea uharo [emoji57]
Huyo kitenge kule EFM alifanya nin?
Show za wasafi zimekuwa zikijaza Sana lakini pia nenda kaangalie mapokezi wanayopata ni makubwa lakini pia ndio show yenye wadhamini wengi kuliko tamasha lolote la hapa Tanzania.Ingekuwa imedorora Kama unavyosema mtoa mada isingekuwa inajaza watu wengi?lakini pia isingekuwa inapata wadhamini wengi kuliko tamasha lolote.Nafikiri umeongea kwa chuki zako binafsi.
Vihela vidogo shilingi ngapi? Mkataba unao wakuonyesha hizo hela? Fiesta zamani walikuwa wanapiga mikoa zaidi ya 15,mbona mwaka huu wanapiga mikoa 7,sababu wewe unazani ni nini?Unaonekana ni shabiki maandazi, huo udhamini wa vimilioni vichache unaweza kufananisha na udhamini wa Tigo?hao wasafi hawaisogelei clouds hata inch moja