Mpaka muda huu ni wazi kuwa Wasafi Festival ni Joka la kibisa kwa Tigo Fiesta.

Mpaka muda huu ni wazi kuwa Wasafi Festival ni Joka la kibisa kwa Tigo Fiesta.

Mshindani wa Wasafi festival ni Nandy Festival huyu mwingine ndio mlezi wao wote
 
Mshindani wa Wasafi festival ni Nandy Festival huyu mwingine ndio mlezi wao wote
Clouds wanawazuia wasanii kushiriki wasafi festival , wasafi wapo tayar kushiriki fiesta lakn clouds hawana mtonyo wa kuwalipa....
Taasisi inapambana na one man show
 
Tofautisha bei....5000 kwa 10000 na promo kibao...
Hebu jiulize ingekua Wasafi radio inasikika mikoa yote....

Kwenye bei weka mfano wa Tecno na Samsung hapa bongo.... Utapata jibu wspi ni wengi..

Fiesta inabebwa na promo pamoja na kushuka bei....pia imeogopa mikoa yote yenye ushindani....hadi Dar kweli...
Hapa umeongea uharo [emoji57]
 
Wasafi fesivo sijui clouds, hawa kama hawawapi shavu wasanii wa hip hop basi wote wanacheza hide and seek
 
Clouds wanawazuia wasanii kushiriki wasafi festival , wasafi wapo tayar kushiriki fiesta lakn clouds hawana mtonyo wa kuwalipa....
Taasisi inapambana na one man show
Soma nilichoandika, rudia ulichoandika, tafakari ulichoandika, rekebisha ulichoandika then post utachoandika nitag nisome ulichoandika
 
Clouds wanawazuia wasanii kushiriki wasafi festival , wasafi wapo tayar kushiriki fiesta lakn clouds hawana mtonyo wa kuwalipa....
Taasisi inapambana na one man show
Msanii ambaye alikuwa wa gharama pale Wasafi alikuwa ni Konde boy tu wale wengne Hata kwa konyagi show wanafanya tu,acha uzezeta.
 
Ndio maana tumemsajili Kitenge and the likes,soon things will be okay,worry not funs,wcb 4ever
 
Hapa umeongea uharo [emoji57]
Tatizo nimejiuliza "Nimeonhea uharo kwenye akili yako,Nikapata jibu kua Nimeongea Usafi kwenye akili ya funza wa chooni Do lazima ataona usafi ni uchafu"

Yakuhitaji Akili ndogo kupembenua mambo na si ushabiki MaV tu. But
👊
👎
 
Show za wasafi zimekuwa zikijaza Sana lakini pia nenda kaangalie mapokezi wanayopata ni makubwa lakini pia ndio show yenye wadhamini wengi kuliko tamasha lolote la hapa Tanzania.Ingekuwa imedorora Kama unavyosema mtoa mada isingekuwa inajaza watu wengi?lakini pia isingekuwa inapata wadhamini wengi kuliko tamasha lolote.Nafikiri umeongea kwa chuki zako binafsi.

Unaonekana ni shabiki maandazi, huo udhamini wa vimilioni vichache unaweza kufananisha na udhamini wa Tigo?hao wasafi hawaisogelei clouds hata inch moja
 
Unaonekana ni shabiki maandazi, huo udhamini wa vimilioni vichache unaweza kufananisha na udhamini wa Tigo?hao wasafi hawaisogelei clouds hata inch moja
Vihela vidogo shilingi ngapi? Mkataba unao wakuonyesha hizo hela? Fiesta zamani walikuwa wanapiga mikoa zaidi ya 15,mbona mwaka huu wanapiga mikoa 7,sababu wewe unazani ni nini?
 
Wasafi inaendesha na mood ya sallam na mganga wa tale
 
Back
Top Bottom