Kevzy
JF-Expert Member
- May 23, 2026
- 976
- 1,712
Nimechoka wakuu
Kazi,majukumu na miangaiko nikajiwekea ngoja nitafute chapaa kwanza niache kuoa mpaka nitakapojipata, nikajiwekea nisipate mtoto mpaka nitapojipata nioe kwanza ndio niangaike na kujenga familia Sasa naona umri umeshaenda kibunda hakipatikani
kadri mda unavyoenda naona nitakula za pua bila mtoto au familia , Sasa nimejiwekea from now mpaka mwezi wa sita mwakani, nisipopata pesa ya mahali na ya shughuli niliyobajeti nitaachana na maswala ya kuoa kwanza Inabidi nijaze mimba pahala, mambo mengine yaendelee
Nimepaniki Sasa sitaki tena mwanamke mmoja nitakuwa najaza mimba tu , wanawake tofauti tofauti natembea maana nilipanga nioe wake wanne kama waislam
Ukisubiria mahela mengi Kwa sisi unga unga mwana utachelewa sana kuanzisha familia Sasa liwalo na liwe 33 hii ni miaka mingi sana
NAVUA CONDOM WAKUU