Mpaka Mwalimu Nyerere anaondoka madarakani, uchumi wa Tanzania ulikuwa ni mkubwa kuliko wa Kenya. Marais waliomfuatia walikwama wapi?

Mpaka Mwalimu Nyerere anaondoka madarakani, uchumi wa Tanzania ulikuwa ni mkubwa kuliko wa Kenya. Marais waliomfuatia walikwama wapi?

Hakuna chama kinachoweza kutawala siku zote labda kama wewe uelewa ni mdogo ndio utabisha hilo.
Utachelewa sana trust me. Mambo yanabadilika. Ila sio leo wala kesho. Sio kwa watu hawa wanasema wanaleta mabadiliko. Hawana sifa wala weledi. Wanahangaika kumchekesha mzungu
 
Utachelewa sana trust me. Mambo yanabadilika. Ila sio leo wala kesho. Sio kwa watu hawa wanasema wanaleta mabadiliko. Hawana sifa wala weledi. Wanahangaika kumchekesha mzungu
Yes, they can be worse but their political rivals are no better and that's why this country is the way it is...!!🙄
 
Utachelewa sana trust me. Mambo yanabadilika. Ila sio leo wala kesho. Sio kwa watu hawa wanasema wanaleta mabadiliko. Hawana sifa wala weledi. Wanahangaika kumchekesha mzungu
Na wasingekuwa na sifa wasingepigwa risasi na hao hao wanadai leo kuwa hawana sifa.
 
Mwalimu Nyerere hakuzalisha uchumi Bali alitumia hazina ya pesa na Mali alivoachiwa na wakoloni, Kama zilivo nchi nyingi za kiafrica baada ya Uhuru zilikuwa na pesa na uchumi mzuri uliotengenezwa na wakoloni, baada ya Uhuru watawala wa kiafrica wakaanza kushindana kuzibomoa nchi zao kwa ubinafsi wa kuficha pesa ulaya sawa, wa kujenga kijijini kwao sawa, wa kujenga mahekalu kila sehemu duniani haya
 
Siasa mbovu za Mwalimu ndizo zilizouwa uchumi kwa kuwapora watu Mali zao kupitia utaifishaji then wakashindwa kuviendesha, mfano mashamba ya katani nk. Mwalimu alikuwa mzuri kwenye Mambo mengine Ila sio kwenye uchumi alifeli vibaya sawa na awamu hii haijui chochote kuhusu uchumi. Uchumi unaendana na Uhuru
 
Hii kama ina kigezo cha kuhesabu safari za viongozi kupishana angani wakitumbua fedha za walipa kodi wao, Kenya wanayo kila sababu ya kutushinda awamu hii.
Unaweza usipishane angani but zikatumika kwenye white elephant project hapo ni heri kupishana angani ili kukuza diplomasia
 
Na wasingekuwa na sifa wasingepigwa risasi na hao hao wanadai leo kuwa hawana sifa.

You can't do anything and get away with it. That is anywhere in the world. Hakuna Rais anayeokotezwa sababu anaongea sana na anajuana na wazungu.
Itachukua muda mrefu sana Tanzania kuongozwa na mpinzani. Sio leo wala kesho
 
Unaweza usipishane angani but zikatumika kwenye white elephant project hapo ni heri kupishana angani ili kukuza diplomasia

Bora zipotelee kwenye white elephat projects tu kama makao makuu Dodoma. Kuliko zipotelee kwenye kwenda kubembea Jamaica na Kwenye hawa temb weupe wa Bandari ya Bwaga/bwegemoyo na zile nyumba za nssf dege ambazo saizi ni makazi ya nguchiro, vicheche, vimburu, fisi wa usafiri usiku na sehemu ya kuchukulia nondo /vyuma chakafu kwa wajenzi wa makazi jirani ba pale. Wapembuzi yakinifu walio buni miradi hii ambao ni vivakav kama vibaka wengine tu eti walishachukua advance yao.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 jukwaa limevamiwa mkuu, sijui data za wapi...
Mkapa aliondoka akaacha gape 2B, JK akaingia akakuta gape ni 8B. Between Mkapa na JK, Rais asiyejulikana aliongeza gape hewa la 6B. Cooked data
 
Bora zipotelee kwenye white elephat projects tu kama makao makuu Dodoma. Kuliko zipotelee kwenye kwenda kubembea Jamaica na Kwenye hawa temb weupe wa Bandari ya Bwaga/bwegemoyo na zile nyumba za nssf dege ambazo saizi ni makazi ya nguchiro, vicheche, vimburu, fisi wa usafiri usiku na sehemu ya kuchukulia nondo /vyuma chakafu kwa wajenzi wa makazi jirani ba pale. Wapembuzi yakinifu walio buni miradi hii ambao ni vivakav kama vibaka wengine tu eti walishachukua advance yao.
Za kununua wapinzani,kurudia chaguzi, kujenga Chato ni sahihi? Kujenga majengo yasiyozalisha
 
You can't do anything and get away with it. That is anywhere in the world. Hakuna Rais anayeokotezwa sababu anaongea sana na anajuana na wazungu.
Itachukua muda mrefu sana Tanzania kuongozwa na mpinzani. Sio leo wala kesho
False and bogus prophet at work.
 
Kuanzia mwaka 1999 mpaka 2005 tanzania tulikua juu ya kenya kwa gdp angalia google..

lakini pia miaka ya zamani tulikua tukipishana na kenya mara nyingi kwa gdp wakituzidi inafika muda na si pia tunawadi ila wakati wa kikwete kuja mpka saiv ndo wametupiga gap kubwa sana..

source ni WB kaangalie..
 
Attachments

  • Screenshot_20200929-221413_Chrome.jpg
    Screenshot_20200929-221413_Chrome.jpg
    80.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200929-221403_Chrome.jpg
    Screenshot_20200929-221403_Chrome.jpg
    81 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200929-221320_Chrome.jpg
    Screenshot_20200929-221320_Chrome.jpg
    79.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom