Mpaka Rais anatengenezewa AI video zisizo na heshima hivi na watu wengi wanazifurahia inaonesha kabisa watu hawamuheshimu

Luca Paguro

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2023
Posts
502
Reaction score
1,141
Sasahivi mitandaoni kumejaa video za AI zilizotengenezwa kwa lengo la kumkashifu na kumkejeli Rais Samia.
Cha ajabu video hizi zinapata views wengi na watu wengi wanaonekana kuzifurahia

Kuanzia mwezi May hadi September hivi, video za namna hii zilikuwa zinaandaliwa na Wakenya ila sikuhizi ni

Watanzania wenyewe na huku ni kumkosea heshima Rais Samia

Hii inaonesha watu hawamuheshimu na licha ya kuwa ni Rais bado watu wanamdharau

Mfano wa video ni kama hizi hapa. Hizi ni dharau za wazi wazi kwa Samuya. Nacheka ila sijui kama anastahili kufanyiwa hivi au la🤣🤣

Mods: Mbona mmezitoa video sasa, basi uondoeni na huu uzi pia kwa sababu hauna maana bila hizo video
 
Kwa dunia ya Leo unadhani ni rahisi kuzuia watu wasitengeneze video za kejeli kwa mtu ambae ni maarufu zaidi huko Tanzania?
Maza atatengenezwa sana video but lazima ajikaze kiume.
Anyway nikukumbushe jambo boss ni ngumu pia binadamu uliyeumbwa kw udongo kupendwa ns kila Mt
 
Mods wamezifuta
Viongozi wa JF n kama vile hawajitambui, serikali wameifunga JF pamoja na muda wa ban kuisha Ila bado hao hao wanaendelea kuwatetea hao hao serikali waliowafungia.

N kama vile wamekutana wajinga na kuunda JF.

Hii ban iendelee tuu mana wahusika wameshindwa kujitambua, mana haiwezekani mmepigwa ban lakini mods bado mnaiendesha JF ety mpo Malawi 🗑️

Pumbavu kabisa.
 
JF wanajitanya wanamhurumia sana Samuya, eti ni mama hapaswi kudhihakiwa. Tutaona kama Samuya ataionea huruma JF, wanaweza jikuta Christmas ya mwaka huu inafika na bado JF ipo kwenye ban
 
Watu tunaowatetea wafunguliwe kifunguni ndio kwanza wanakuwa wa kwanza kuzifuta video za wanachama wao wanaowatetea
 
JF wanajitanya wanamhurumia sana Samuya, eti ni mama hapaswi kudhihakiwa. Tutaona kama Samuya ataionea huruma JF, wanaweza jikuta Christmas ya mwaka huu inafika na bado JF ipo kwenye ban
Samia aendelee kuinyoosha JF tuu mana viongozi wake wameshindwa kujitambua, kama wamefungiwa wanapaswa kuacha mambo yaende yenyewe bila kuingilia mana wamenyimwa access ya ku-manage JF Ila wao kutwa kuwalilia, Pumbavu kabisa hawa
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Sasahivi mitandaoni kumejaa video za AI zilizotengenezwa kwa lengo la kumkashifu na kumkejeli Rais Samia.
Cha ajabu video hizi zinapata views wengi na watu wengi wanaonekana kuzifurahia

Kuanzia mwezi May hadi September hivi, video za namna hii zilikuwa zinaandaliwa na Wakenya ila sikuhizi ni

Watanzania wenyewe na huku ni kumkosea heshima Rais Samia

Hii inaonesha watu hawamuheshimu na licha ya kuwa ni Rais bado watu wanamdharau

Mfano wa video ni kama hizi hapa. Hizi ni dharau za wazi wazi kwa Samuya. Nacheka ila sijui kama anastahili kufanyiwa hivi au la🤣🤣

Mods: Mbona mmezitoa video sasa, basi uondoeni na huu uzi pia kwa sababu hauna maana bila hizo video
Genocidal woman unamuheshimuje?
 
huyo ni kibaka Tanganyika hatukupiga kura hao ni wauwaji vibaka majambazi za Haki za watanganyika hakuna rais hapo raisi anaishi mashimoni kwa kujificha ficha kama linyoka au lipanya buku ?
 
Back
Top Bottom