Mpaka sasa Baada ya hizi nauli mpya na Tozo tunasemaje kuhusu Mama?

Mpaka sasa Baada ya hizi nauli mpya na Tozo tunasemaje kuhusu Mama?

Status
Not open for further replies.

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Kwa Haya mambo ndugu Watanzania tunasemaje? MAMA BADO ANAUPIGA MWINGI?

NAULI MPYA ZILIZOPANGWA NA SUMATRA ZA MABASI YA KWENDA MIKOANI KUTOKEA DAR: BEI ZOTE NI KWA SHILINGI YA TANZANIA.;

DAR - ARUSHA;

å Basi la kawaida 22,700/-.
å Semi luxury bus 32,800/-.
å Luxury bus 36,000/-

DAR - BABATI via ARUSHA;
å Basi la kawaida 29,000/-
å Semi luxury bus 41,800/-
å Luxury bus 45,900/-

DAR - BUKOBA via DODOMA;
å Basi la kawaida 55,100/-
å Semi luxury bus 77,300/-
å Luxury bus 85,000/-

DAR - DODOMA;
å Basi la kawaida 16,700/-
å Semi luxury bus 24,100/-
å Luxury bus 26,400/-

DAR - IRINGA;
å Basi la kawaida 18,300/-
å Semi luxury bus 26,300/-
å Luxury bus 28,900/-

DAR - KIGOMA;
å Basi la kawaida 58,800/-
å Semi luxury bus 80,900/-
å Luxury bus 88,900/-

DAR - LINDI;
å Basi la kawaida 17,800/-
å Semi luxury bus 24,400/-
å Luxury bus 26,800/-

DAR - MBEYA;
å Basi la kawaida 30,700/=
å Semi luxury bus 44,300/=
å Luxury bus 48,700/=

DAR - MOROGORO;
å Basi la kawaida 7,100/=,
å Semi luxury bus 10,300/=
å Luxury bus 11,300/=

DAR - MOSHI;
å Basi la kawaida 19,800/=,
å Semi luxury bus 28,500/=,
å Luxury bus 31,300/=

DAR - MTWARA:
å Basi la kawaida 21,500/=,
å Semi luxury bus 29,700/=,
å Luxury bus 32,600/=

DAR - MUSOMA kupitia DODOMA;
å Basi la kawaida 50,800/=,
å Semi luxury bus 73,200/=,
å Luxury bus 80,500/=

BAR - MWANZA kupitia DODOMA;
å Basi la kawaida 42,600/=,
å Semi luxury bus 61,400/=,
å Luxury bus 67,500/=

DAR - SHINYANGA;
å Basi la kawaida 36,600/=,
å Semi luxury bus 52,700/=
å Luxury bus 57,900/=

DAR - SINGIDA kupitia DODOMA;
å Basi la kawaida 25,500/=,
å Semi luxury bus 36,800/=,
å Luxury bus 40,400/=

DAR - SONGEA;
å Basi la kawaida 35,000/=,
å Semi luxury bus 50,600/=,
å Luxury bus 55,500/=

DAR - SUMBAWANGA;
å Basi la kawaida 45,100/=,
å Semi luxury bus 62,100/=,
å Luxury bus 68,200/=

DAR - TABORA;
å Basi la kawaida 39,000/=,
å Semi luxury bus 54,700/=,
å Luxury bus 60,100/=

DAR - TANGA;
å Basi la kawaida 12,800/=,
å Semi luxury bus 18,500/=,
å Luxury bus 20,300/=

DAR - KIBAHA;
å Basi la kawaida 1000/=,
å Semi luxury bus 1,500,
å Luxury bus 1,600/=
 
Huu mfumo unatufundisha tusiwe walegevu tusitegemee mabasi bali tuwe ma hardcore tukomae kininja kama shabiki wa yanga aliyezimaliza kilomita 1445


1626345060997.png
 
Hivi hakunaga ungo mkubwa kama basi au mwendokasi. Wachawi na marubani wa ungo wachangamkie fursa. Wapakie abiria kwenye ungo
 
... Rais Samia anaweza kuwa na madhaifu yake lakini haina maana kwamba hana mazuri yake. Uhuru wa habari na watu kujieleza bila vitisho vya dola, haki za binadamu, kutodhulumu wengine kwa ghilba (matajiri), kujiepusha na uongo uliopitiliza (sijui hakuna Corona, mabeberu wanatuonea wivu, dona kantri, etc.) kwa faida za kisiasa, n.k. ni kati ya mazuri aliyoanza nayo japo anahitaji kuboresha zaidi na naamini atafanya hivyo. Kubwa zaidi linalomsubiri ni Katiba Mpya/Bora.

Kuhusu kodi na nauli; kuliko kuwadhulumu wachache kila mtu alipe kodi japo sio rafiki. Ikumbukwe Mh. Rais hakwenda Bungeni kusoma, kujadili, na kupitisha bajeti. Tatizo ni Bunge; limeshindwa kutekeleza wajibu wake ipasavyo. Kama Bunge (wawakilishi wa wananchi) wamepitisha bajeti kama ilivyo, Rais alaumiwe kwa lipi? Hebu mpeni nafasi jamani!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom