Mpaka sasa Baada ya hizi nauli mpya na Tozo tunasemaje kuhusu Mama?

Mpaka sasa Baada ya hizi nauli mpya na Tozo tunasemaje kuhusu Mama?

Status
Not open for further replies.
Mama hana tatizo, bado anaucheza kama Zizu sema shida maji ya muarabu yamepanda bei sana beki hazikabi
Kweli beki hazikabi ,

Pia hata mafowadi nao mbona wanapoteza mpira kila wakipasiwa,

Nazani viungo,walinzi WA Kati na WA pembeni wanapaswa kujiimarisha kwa kujinyumbua kwa umakini
 
Umesema vema kiongozi, kodi tulipe wote na mama anakwenda vizuri ni suala tu la kumpa muda.
Hivi vya mobile pesa vya juzi na jana siyo kodi baba .
Hii inaitwa TOA HELA.
TOZO YA NINI?
TRA watusaidie kutafsiri hii kitu.
What kind of Levy is this?
Watamshauri Mheshimiwa Rais hata kuchapisha noti
They are good for nothing
 
Yani ni bora mtoto akalelewa na mama mkubwa lakini sio Baba mkubwa [emoji848][emoji848]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom