Supercomputer
JF-Expert Member
- Feb 13, 2021
- 634
- 1,311
Kwani mkuu?Mama Samia Suluhu Hassan anaipeleka nchi kwenye uelekeo ulio sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mkuu?Mama Samia Suluhu Hassan anaipeleka nchi kwenye uelekeo ulio sahihi
KhaaaaJK ATATUUA WALAHI
Mazingira yanakataa, hii hali si nzuri kwetu wananchi,... Rais Samia anaweza kuwa na madhaifu yake lakini haina maana kwamba hana mazuri yake. Uhuru wa habari na watu kujieleza bila vitisho vya dola, haki za binadamu, kutodhulumu wengine kwa ghilba (matajiri), kujiepusha na uongo uliopitiliza (sijui hakuna Corona, mabeberu wanatuonea wivu, dona kantri, etc.) kwa faida za kisiasa, n.k. ni kati ya mazuri aliyoanza nayo japo anahitaji kuboresha zaidi na naamini atafanya hivyo. Kubwa zaidi linalomsubiri ni Katiba Mpya/Bora.
Kuhusu kodi na nauli; kuliko kuwadhulumu wachache kila mtu alipe kodi japo sio rafiki. Ikumbukwe Mh. Rais hakwenda Bungeni kusoma, kujadili, na kupitisha bajeti. Tatizo ni Bunge; limeshindwa kutekeleza wajibu wake ipasavyo. Kama Bunge (wawakilishi wa wananchi) wamepitisha bajeti kama ilivyo, Rais alaumiwe kwa lipi? Hebu mpeni nafasi jamani!
Double tax?? Na kwa burden hii???Umesema vema kiongozi, kodi tulipe wote na mama anakwenda vizuri ni suala tu la kumpa muda.
VAT si iko ndani au unamanisha kiwango kiwe zaidi ya 18%?Nashauri mama aongeze tena na VAT
Aliharibu kwa kufanaje maana kwake hatukuwa na haya ya kudouble transaction costs, kodi zililipwa kwa mujibu wa SheriaNi vizuri sisi raia kuchangia pato la taifa, nchi iliharibika sana nakumbuka Tundu Lissu kwenye kampeni alisema Magu kaharibu sana uchumi wa nchi wa nchi hii na itachukua miaka mingi ku-reform hiyo damage. Basi tumuunge mkono mama mie binafsi nina furaha kulipa hayo makato ili mradi maendeleo yaje
RATRAHivi bado kuna SUMATRA?
Uwakilishi wa wananchi wapi? Bunge lipi unalolizungumzia, hilo la JMT? Lini limewahi kutetea mwananchi? Mambo yote yaliyopelekwa na serikali bungeni, lipi lilikwama kwasababu ya wabunge kuona halifai kwa ustawi wa taifa? Gesi iliuzwa kwa dharula, aliyeleta ni raisi na serikali yake. Wabunge hawa wanaosema si sawa ila mwisho anaunga mkono hoja?... Bunge ndio chombo cha uwakilishi wa wananchi ndugu; Bunge linatakiwa litetee wananchi. Kama linapitisha kodi kandamizi ni tatizo la Bunge. Bunge lingegomea hiyo bajeti ingepita? Lilaumiwe Bunge sio Rais.
Vyuma vitaumanaMama hana tatizo, bado anaucheza kama Zizu sema shida maji ya muarabu yamepanda bei sana beki hazikabi
JK ndio Kiongozi kwa Sasa???JK ATATUUA WALAHI
MH. RAIS SAMIA SULUHU HASSANI HAUSIKI KWA NAMNA YOYOTE, KAMA UNAMSIKILIZA MWL. CHRISTOPHER MWAKASEGE UTAELEWA TUNAELEKEA WAPI. HILI NI TRAILER, PICHA KAMILI INAKUJA. NI NGUVU KUBWA SANA YA ULIMWENGU, SULUHISHO NI KUMKIMBILIA MUNGU NA KUMTEGEMEA YEYE PEKE YAKE. PRESURE ILIYOPO KATIKA MAMBO HAYA NI KUBWA KULIKO UWEZO WA RAIS AU KIONGOZI YEYOTE WA WANADAMU. SIKILIZA MAFUNDISHO YA MWAKASEGE KABLA HATA YA MAGUFULI HAJATUTOKA NA YALE YALIYOISHIA JUMAPILI.SIO LAZIMA USIKILIZE, HUU NI USHAURI TU."KILA MUNU AVE NA KWAO."Kwa Haya mambo ndugu Watanzania tunasemaje? MAMA BADO ANAUPIGA MWINGI?
NAULI MPYA ZILIZOPANGWA NA SUMATRA ZA MABASI YA KWENDA MIKOANI KUTOKEA DAR: BEI ZOTE NI KWA SHILINGI YA TANZANIA.;
DAR - ARUSHA;
å Basi la kawaida 22,700/-.
å Semi luxury bus 32,800/-.
å Luxury bus 36,000/-
DAR - BABATI via ARUSHA;
å Basi la kawaida 29,000/-
å Semi luxury bus 41,800/-
å Luxury bus 45,900/-
DAR - BUKOBA via DODOMA;
å Basi la kawaida 55,100/-
å Semi luxury bus 77,300/-
å Luxury bus 85,000/-
DAR - DODOMA;
å Basi la kawaida 16,700/-
å Semi luxury bus 24,100/-
å Luxury bus 26,400/-
DAR - IRINGA;
å Basi la kawaida 18,300/-
å Semi luxury bus 26,300/-
å Luxury bus 28,900/-
DAR - KIGOMA;
å Basi la kawaida 58,800/-
å Semi luxury bus 80,900/-
å Luxury bus 88,900/-
DAR - LINDI;
å Basi la kawaida 17,800/-
å Semi luxury bus 24,400/-
å Luxury bus 26,800/-
DAR - MBEYA;
å Basi la kawaida 30,700/=
å Semi luxury bus 44,300/=
å Luxury bus 48,700/=
DAR - MOROGORO;
å Basi la kawaida 7,100/=,
å Semi luxury bus 10,300/=
å Luxury bus 11,300/=
DAR - MOSHI;
å Basi la kawaida 19,800/=,
å Semi luxury bus 28,500/=,
å Luxury bus 31,300/=
DAR - MTWARA:
å Basi la kawaida 21,500/=,
å Semi luxury bus 29,700/=,
å Luxury bus 32,600/=
DAR - MUSOMA kupitia DODOMA;
å Basi la kawaida 50,800/=,
å Semi luxury bus 73,200/=,
å Luxury bus 80,500/=
BAR - MWANZA kupitia DODOMA;
å Basi la kawaida 42,600/=,
å Semi luxury bus 61,400/=,
å Luxury bus 67,500/=
DAR - SHINYANGA;
å Basi la kawaida 36,600/=,
å Semi luxury bus 52,700/=
å Luxury bus 57,900/=
DAR - SINGIDA kupitia DODOMA;
å Basi la kawaida 25,500/=,
å Semi luxury bus 36,800/=,
å Luxury bus 40,400/=
DAR - SONGEA;
å Basi la kawaida 35,000/=,
å Semi luxury bus 50,600/=,
å Luxury bus 55,500/=
DAR - SUMBAWANGA;
å Basi la kawaida 45,100/=,
å Semi luxury bus 62,100/=,
å Luxury bus 68,200/=
DAR - TABORA;
å Basi la kawaida 39,000/=,
å Semi luxury bus 54,700/=,
å Luxury bus 60,100/=
DAR - TANGA;
å Basi la kawaida 12,800/=,
å Semi luxury bus 18,500/=,
å Luxury bus 20,300/=
DAR - KIBAHA;
å Basi la kawaida 1000/=,
å Semi luxury bus 1,500,
å Luxury bus 1,600/=