Mpaka sasa Baada ya hizi nauli mpya na Tozo tunasemaje kuhusu Mama?

Status
Not open for further replies.
Anaupiga mwingi sana mama...
 
Not only has she failed, but also let's down. Anatuangusha sana hadi tumeanza kutamani katiba mpya na muungano bora zaidi ya huu

Ishu ya katiba iko pale pale.. huyu mama hana tatizo, washauri wake awaangalie kwa macho manne.. watamuangusha aonekane hafai.

Mungu amsimamie kwakweli
 
Umesema vema kiongozi, kodi tulipe wote na mama anakwenda vizuri ni suala tu la kumpa muda.
 
Ni vizuri sisi raia kuchangia pato la taifa, nchi iliharibika sana nakumbuka Tundu Lissu kwenye kampeni alisema Magu kaharibu sana uchumi wa nchi wa nchi hii na itachukua miaka mingi ku-reform hiyo damage. Basi tumuunge mkono mama mie binafsi nina furaha kulipa hayo makato ili mradi maendeleo yaje
 
Bunge si sehemu ya serikali, bajeti ilipelekwa bungeni na serikali, unadhani ni nani anapaswa kujua ugumu wa maisha kati ya bunge na serikali?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…