Mpaka sasa chaguo ni moja tu 2025

Basi sawa!Sasa haya mapikipiki na mabango hofu Ni Nini? Wakati una uhakika.
 
Hata wakati wa kudai uhuru wajinga kama wewe walikuwepo. Hawakutaka tudai na kupata uhuru . Kweli kama una akili timamu unaweza kushabikia chama kilichotupatia viongozi waliokuja kulifilisi taifa na kuiba raslimali zote . Nchi ni masikini ya kutupwa toka uhuru mpaka leo inazungumza kujenga madarasa, wanafunzi Bado wanakaa chini. Kiongozi anakwenda kukopa Korea huku nyumbani kumejaa matobo. Tumeishia kukabidhi raslimali kwa masharti magumu . Wanaotukopesha wanatuona tuna akili timamu kweli? Wewe ni mjinga na umezaliwa kuwa mjinga Hadi mwisho wa maisha yako
 
Wale nyumbu waganga njaa wa Chadema Sasa Kila mtu kivyake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yaelekea Makamu Mwenyekiti amemzidi Kete Mwenyechama na hana Cha kufanya 🀣🀣

View: https://twitter.com/420Cousin/status/1802011397326262369?t=_5Nx6KvJlvlq7qxCmLaTIA&s=19
 
na mihemko yako yote lakini bado umeona aibu hata tu, kunidokeza achilia mbali kunishawishi nishabikie chama gani cha siasa chenye sera na mipango mbadala wa CCM

ghahabu na gubu binafsi zinazochochewa na hali ya maisha ya kivivu kwa mtu mzima kuishi kwa wazazi wake, huishia kulaumu na kulalamika na pengine kujipa umuhimu ambao hauna kichwa wala maskio....

changamoto binafsi zitafitiwe suluhisho la kibinafsi na sio kuleta visingizio na lawama amabazo hazina msingi wala maana yoyote
 
Basi sawa!Sasa haya mapikipiki na mabango hofu Ni Nini? Wakati una uhakika.
sio mapikipiki tu, cheki apo chini

my friend ukiona vya elea ujue vimeumbwa...

ushindi wa kishindo ni process ndefu gentleman
 

Attachments

  • 47790100a71248aebac8373465b8b1e1.jpg
    87.9 KB · Views: 1
Ni kweli !lakini katiba ya warioba itasaidia kutatua Keri za muungano na kuwafunga speed Havana viongozinwanaokichafua chama kwa rushwa na uchawa plus ubadhirifu!
uko sahaihi sana katika katafuta suluhisho la kudhibiti wala rushwa, wabadhirifu na wanaotia doa chama na serikali sikivu ya ccm....

but why warioba? who is warioba over 60millions citizens
 
Waziri mwenye dhamana hata kujielezea tu shida amejawa na dharau kibri na majivuno mpaka alidiriki kusema tuamie BURUNDI amebakia kuvaa tai tu.
 
style na tone ya maelezo yako imenifurahisha sana,

ina logic,
halafu inaashiria uanafahamu vyema mambo mengi makubwa yamefanyika kwa ustadi na mafabikio mkubwa sana, ola inachoripoti ni dosari, kasoro na changamoto ambazo ni jambo la kawaida sana katika mafanikio yoyote yale...

hata hivyo zinasahihishwa na kurekebishwa usiku na mchana, ili kuyafikia malengo mahususi yaliyokusudiwa kwa wananchi
 
Waziri mwenye dhamana hata kujielezea tu shida amejawa na dharau kibri na majivuno mpaka alidiriki kusema tuamie BURUNDI amebakia kuvaa tai tu.
mambo ya lawama binafsi si muhimu sana katika masuala ya jumla ya nchi
 
Nyie chawa msiojitambua inabidi mtiwe moto kwenye vijambio vyenu
 
naona hutaki kugusa hoja kabisa, unazunguka na vihoja tu bila mpangilio...

hujui mbadala wa hoja yangu, sijui ni kwasababu unaona aibu kusema, huoni au hujui mbadala wa chama cha Mapinduzi πŸ’
chawaaaaaaaaaaaaaaaa
 
kijitambua ni kutoka huko unakorubuniwa, na kujiunga na timu ambayo ni bayana ya ushindi wa wazi kabisa
Timu ya ushindi wa wazi kabisa..... Ushindi hapa sijakwelewa ni ushindi gan unazungumzia.

2025 ushind au ushindi wa maendeleo ya Taifa au ushindi upi?

Ushindi binafsi kwa kugonga misumari nyundo kwenye bango liloshehen sifa na majigambo lundo huku umeme kila ifikapo saa 12pm unakatwa hadi saaa moja au saa mbili kila siku?

Je najiuliza shida nnin au mitambo inafanya kaz kubwa so inapumzishwa masaa kazaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama CCM inakubalika kweli mbona mliweka kura za kufoji mfano hai kule kawe?
Kama CCM inakubalika mbona mliiba uchaguzi wa 2020.
Ninaamini wewe Ni MTU mzima na sober hata 2020 ulikua sober, unasemaje kuhusu ule uchaguzi huku na visiwani?
 
Muhimu washinde kihalali sio kwa mbeleko za vyombo. πŸ™„πŸ˜³πŸ€ 
 
Muhimu washinde kihalali sio kwa mbeleko za vyombo. πŸ™„πŸ˜³πŸ€ 
uchaguzi ujao wa serikali za mitaa na ule uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2024 na ule wa 2025, ni miongoni mwa chaguzi bora, huru za wazi, haki na za usawa kuliko zaidi ya chaguzi zote zilizowahi kufanyika duniani...

mtu kukosa kushiriki uchaguzi huu kwa sababu yoyote ile itakua ni hasara kujikosesha maendeleo wenyewe πŸ’
 
Kama CCM inakubalika kweli mbona mliweka kura za kufoji mfano hai kule kawe?
Kama CCM inakubalika mbona mliiba uchaguzi wa 2020.
Ninaamini wewe Ni MTU mzima na sober hata 2020 ulikua sober, unasemaje kuhusu ule uchaguzi huku na visiwani?
unaongelea dosari na kasoro katika uchaguzi ambazo ni kwaida sana na hazifuti wala kunajisi uchaguzi wote..

so,
hizo changamoto katika baadhi ya maeneo ni mtambuka.

utakumbuka Marekani, DRC na majuzi Senegal na south Africa malalamiko kama hayo yalikuapo lakini hayakubalisha uchaguzi wote..

bado uchaguzi ulipata vigezo vya kuwa huru,wazi, sawa na wa haki kwasabb wasimamizi wa uchaguzi ni binadamu na Technologia, panaweza kutokea dosari na kasoro kidogo πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…