Mpaka sasa chaguo ni moja tu 2025

Mpaka sasa chaguo ni moja tu 2025

Basi sawa!Sasa haya mapikipiki na mabango hofu Ni Nini? Wakati una uhakika.
 
ni Chama Cha Mapinduzi CCM.

Sera zake za kusisimua na kuimarisha uchumi bado zinahitajika na kuaminika zaidi ndani na nje ya nchi, kwani kwa kiasi kikubwa zimebadili hali ya vipato na kuongeza hali za viwango vya maisha ya waTanzania kwa kiwango cha kuridhisha na kutia moyo sana.

Sera zake za kuchochea demokrasia usawa, uhuru, haki na uwazi zimefanya siasa kua jukwaa muhimu sana kwa wananchi na wadau wa maendeleo kutoa maoni yanayoongeza uwajibikaji kwa wenye dhamana na mamlaka kwenye jamii.

Sera zake kwenye upatikanaji wa huduma za kijamii kwa mfano maji, elimu, afya, miundombinu, mazingira bora ya biashara, uwekezaji, kilimo, ufugaji, usafirishaji, viwanda, ulinzi na usalama, amani na utulivu, vimefanya wananchi na waTanzania kukosa chaguo mbadala wa CCM, na kwa hivyo Imani na matumaini yao yapo katika uongozi madhubuti wa chama cha Mapinduzi...

Sera zake za mambo ya nje zimekua rafiki na kivutio cha kipekee sana kwa mataifa ya dunia. ni sera ambazo zinazozingatia sana kwa kiasi kikubwa maslahi mapana ya waTanzania kwanza kiuchumi, kisiasa na kijamii, na zimekua kichocheo kikubwa sana kinachokuza biashara za nje, usafiri wa anga, utalii na uwekezaji nchini..

Zaidi sana, uongozi makini na madhubuti wa chama na serikali ya CCM ndio pekee chama cha kizalendo kinachojitegemea chenyewe, ukilinganisha na vyama vingine ambavyo kwa kiasi kikubwa vinategemea usaidizi wa hali na mali wa mataifa ya ng'ambo..

Hayo ni kwa uchache tu, tena kwa lugha rahisi sana kwa sisi sote kuelewa.

hivyo basi,
chaguo pekee la waTanzania katika umoja na mshikamano wao mpaka sasa ni CCM pekee. ndiyo pekee amani na uhakika wa usalama na utulivu wao kiuchumi, kijamii na kisiasa:pulpTRAVOLTA::pulpTRAVOLTA:
Hata wakati wa kudai uhuru wajinga kama wewe walikuwepo. Hawakutaka tudai na kupata uhuru . Kweli kama una akili timamu unaweza kushabikia chama kilichotupatia viongozi waliokuja kulifilisi taifa na kuiba raslimali zote . Nchi ni masikini ya kutupwa toka uhuru mpaka leo inazungumza kujenga madarasa, wanafunzi Bado wanakaa chini. Kiongozi anakwenda kukopa Korea huku nyumbani kumejaa matobo. Tumeishia kukabidhi raslimali kwa masharti magumu . Wanaotukopesha wanatuona tuna akili timamu kweli? Wewe ni mjinga na umezaliwa kuwa mjinga Hadi mwisho wa maisha yako
 
Wale nyumbu waganga njaa wa Chadema Sasa Kila mtu kivyake 😂😂😂😂

Yaelekea Makamu Mwenyekiti amemzidi Kete Mwenyechama na hana Cha kufanya 🤣🤣

View: https://twitter.com/420Cousin/status/1802011397326262369?t=_5Nx6KvJlvlq7qxCmLaTIA&s=19
 
Hata wakati wa kudai uhuru wajinga kama wewe walikuwepo. Hawakutaka tudai na kupata uhuru . Kweli kama una akili timamu unaweza kushabikia chama kilichotupatia viongozi waliokuja kulifilisi taifa na kuiba raslimali zote . Nchi ni masikini ya kutupwa toka uhuru mpaka leo inazungumza kujenga madarasa, wanafunzi Bado wanakaa chini. Kiongozi anakwenda kukopa Korea huku nyumbani kumejaa matobo. Tumeishia kukabidhi raslimali kwa masharti magumu . Wanaotukopesha wanatuona tuna akili timamu kweli? Wewe ni mjinga na umezaliwa kuwa mjinga Hadi mwisho wa maisha yako
na mihemko yako yote lakini bado umeona aibu hata tu, kunidokeza achilia mbali kunishawishi nishabikie chama gani cha siasa chenye sera na mipango mbadala wa CCM :pedroP: :pedroP:

ghahabu na gubu binafsi zinazochochewa na hali ya maisha ya kivivu kwa mtu mzima kuishi kwa wazazi wake, huishia kulaumu na kulalamika na pengine kujipa umuhimu ambao hauna kichwa wala maskio....:WeSmart::WeSmart:

changamoto binafsi zitafitiwe suluhisho la kibinafsi na sio kuleta visingizio na lawama amabazo hazina msingi wala maana yoyote:pulpTRAVOLTA::pulpTRAVOLTA:
 
Basi sawa!Sasa haya mapikipiki na mabango hofu Ni Nini? Wakati una uhakika.
sio mapikipiki tu, cheki apo chini

my friend ukiona vya elea ujue vimeumbwa...:pedroP:

ushindi wa kishindo ni process ndefu gentleman:pedroP:
 
Attachments

  • 47790100a71248aebac8373465b8b1e1.jpg
    47790100a71248aebac8373465b8b1e1.jpg
    87.9 KB · Views: 1
Ni kweli !lakini katiba ya warioba itasaidia kutatua Keri za muungano na kuwafunga speed Havana viongozinwanaokichafua chama kwa rushwa na uchawa plus ubadhirifu!
uko sahaihi sana katika katafuta suluhisho la kudhibiti wala rushwa, wabadhirifu na wanaotia doa chama na serikali sikivu ya ccm....

but why warioba? who is warioba over 60millions citizens :pulpTRAVOLTA: :pulpTRAVOLTA:
 
Waziri mwenye dhamana hata kujielezea tu shida amejawa na dharau kibri na majivuno mpaka alidiriki kusema tuamie BURUNDI amebakia kuvaa tai tu.
 
Miaka zaidi ya 60 ya uhuru mpo ccm hata maji tu yamewashinda tena kwenye mikoa iliyojirani na ziwa kabisa.
Mashirika yote ya umma mmeyamaliza
Viwanda vyote alivyoacha mwl hakuna hata kimoja
Mwendokasi tu imewashinda kuiendesha
CAG kila mwaka anaweka wazi madudu ya majizi yaliyoko ccm huko
Mnajiamini mna sera nzuri wakati mnaogopa tume huru ya uchaguzi mnataka tume yenye wateule wa mwenyekiti wa ccm
style na tone ya maelezo yako imenifurahisha sana,

ina logic,
halafu inaashiria uanafahamu vyema mambo mengi makubwa yamefanyika kwa ustadi na mafabikio mkubwa sana, ola inachoripoti ni dosari, kasoro na changamoto ambazo ni jambo la kawaida sana katika mafanikio yoyote yale...

hata hivyo zinasahihishwa na kurekebishwa usiku na mchana, ili kuyafikia malengo mahususi yaliyokusudiwa kwa wananchi:pulpTRAVOLTA::pulpTRAVOLTA:
 
Waziri mwenye dhamana hata kujielezea tu shida amejawa na dharau kibri na majivuno mpaka alidiriki kusema tuamie BURUNDI amebakia kuvaa tai tu.
mambo ya lawama binafsi si muhimu sana katika masuala ya jumla ya nchi:pedroP:
 
Nyie chawa msiojitambua inabidi mtiwe moto kwenye vijambio vyenu
 
naona hutaki kugusa hoja kabisa, unazunguka na vihoja tu bila mpangilio...

hujui mbadala wa hoja yangu, sijui ni kwasababu unaona aibu kusema, huoni au hujui mbadala wa chama cha Mapinduzi 🐒
chawaaaaaaaaaaaaaaaa
 
kijitambua ni kutoka huko unakorubuniwa, na kujiunga na timu ambayo ni bayana ya ushindi wa wazi kabisa :pulpTRAVOLTA:
Timu ya ushindi wa wazi kabisa..... Ushindi hapa sijakwelewa ni ushindi gan unazungumzia.

2025 ushind au ushindi wa maendeleo ya Taifa au ushindi upi?

Ushindi binafsi kwa kugonga misumari nyundo kwenye bango liloshehen sifa na majigambo lundo huku umeme kila ifikapo saa 12pm unakatwa hadi saaa moja au saa mbili kila siku?

Je najiuliza shida nnin au mitambo inafanya kaz kubwa so inapumzishwa masaa kazaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM haitegemei mtu wa kikundi cha watu, CCM ni taasisi pana yenye mfumo na utaratibu maalumu wa kuwapata viongozi wa kuongoza chama na serikali...

suala la kua serious sio la mtu binafsi, bali kilicho very serious ni chama organs na unit zake zote...

Serikali ya CCM siku zote ni halali, ndio maana inaaminika zaidi kwa wananchi na kushinda kwa kishindo karibu kila uchaguzi....

masuala ya kutaja majina labda ukacheki kwenye tuvyama tudogotudogo kama chadema coz viongozi wake wanahesabika lakini sio CCM 🐒
Kama CCM inakubalika kweli mbona mliweka kura za kufoji mfano hai kule kawe?
Kama CCM inakubalika mbona mliiba uchaguzi wa 2020.
Ninaamini wewe Ni MTU mzima na sober hata 2020 ulikua sober, unasemaje kuhusu ule uchaguzi huku na visiwani?
 
ni Chama Cha Mapinduzi CCM.

Sera zake za kusisimua na kuimarisha uchumi bado zinahitajika na kuaminika zaidi ndani na nje ya nchi, kwani kwa kiasi kikubwa zimebadili hali ya vipato na kuongeza hali za viwango vya maisha ya waTanzania kwa kiwango cha kuridhisha na kutia moyo sana.

Sera zake za kuchochea demokrasia usawa, uhuru, haki na uwazi zimefanya siasa kua jukwaa muhimu sana kwa wananchi na wadau wa maendeleo kutoa maoni yanayoongeza uwajibikaji kwa wenye dhamana na mamlaka kwenye jamii.

Sera zake kwenye upatikanaji wa huduma za kijamii kwa mfano maji, elimu, afya, miundombinu, mazingira bora ya biashara, uwekezaji, kilimo, ufugaji, usafirishaji, viwanda, ulinzi na usalama, amani na utulivu, vimefanya wananchi na waTanzania kukosa chaguo mbadala wa CCM, na kwa hivyo Imani na matumaini yao yapo katika uongozi madhubuti wa chama cha Mapinduzi...

Sera zake za mambo ya nje zimekua rafiki na kivutio cha kipekee sana kwa mataifa ya dunia. ni sera ambazo zinazozingatia sana kwa kiasi kikubwa maslahi mapana ya waTanzania kwanza kiuchumi, kisiasa na kijamii, na zimekua kichocheo kikubwa sana kinachokuza biashara za nje, usafiri wa anga, utalii na uwekezaji nchini..

Zaidi sana, uongozi makini na madhubuti wa chama na serikali ya CCM ndio pekee chama cha kizalendo kinachojitegemea chenyewe, ukilinganisha na vyama vingine ambavyo kwa kiasi kikubwa vinategemea usaidizi wa hali na mali wa mataifa ya ng'ambo..

Hayo ni kwa uchache tu, tena kwa lugha rahisi sana kwa sisi sote kuelewa.

hivyo basi,
chaguo pekee la waTanzania katika umoja na mshikamano wao mpaka sasa ni CCM pekee. ndiyo pekee amani na uhakika wa usalama na utulivu wao kiuchumi, kijamii na kisiasa:pulpTRAVOLTA::pulpTRAVOLTA:
Muhimu washinde kihalali sio kwa mbeleko za vyombo. 🙄😳🤠
 
uchaguzi ujao wa serikali za mitaa na ule uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2024 na ule wa 2025, ni miongoni mwa chaguzi bora, huru za wazi, haki na za usawa kuliko zaidi ya chaguzi zote zilizowahi kufanyika duniani...

mtu kukosa kushiriki uchaguzi huu kwa sababu yoyote ile itakua ni hasara kujikosesha maendeleo wenyewe 🐒
 
Kama CCM inakubalika kweli mbona mliweka kura za kufoji mfano hai kule kawe?
Kama CCM inakubalika mbona mliiba uchaguzi wa 2020.
Ninaamini wewe Ni MTU mzima na sober hata 2020 ulikua sober, unasemaje kuhusu ule uchaguzi huku na visiwani?
unaongelea dosari na kasoro katika uchaguzi ambazo ni kwaida sana na hazifuti wala kunajisi uchaguzi wote..

so,
hizo changamoto katika baadhi ya maeneo ni mtambuka.

utakumbuka Marekani, DRC na majuzi Senegal na south Africa malalamiko kama hayo yalikuapo lakini hayakubalisha uchaguzi wote..

bado uchaguzi ulipata vigezo vya kuwa huru,wazi, sawa na wa haki kwasabb wasimamizi wa uchaguzi ni binadamu na Technologia, panaweza kutokea dosari na kasoro kidogo 🐒
 
Back
Top Bottom