Mpaka sasa chaguo ni moja tu 2025

huenda unahitaji kueleweshwa kwa vitendo...

kua muungwana, kua mustahimilivu na mwenye subra, timu ya ushindi ipo kazini muda huu, mikutano ya ndani ya vyama vya kisiasa na ya hadhara inafanyika kila eneo nchini hivi sasa....

hayo ni maandalizi ya ndani ya timu ya ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka, na ule uchaguzi mkuu mwaka ujao 2025....

ndio maana nakusihi kujiunga na timu ya ushindi ambayo ipo kuanzia hapo mtaani kwako unapoishi πŸ’
 
Sawa nyie shindeni tu sie mtatukuta hapa hapa tumetulia tukiingoja neema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…