Mpaka sasa chaguo ni moja tu 2025

Mpaka sasa chaguo ni moja tu 2025

Timu ya ushindi wa wazi kabisa..... Ushindi hapa sijakwelewa ni ushindi gan unazungumzia.

2025 ushind au ushindi wa maendeleo ya Taifa au ushindi upi?

Ushindi binafsi kwa kugonga misumari nyundo kwenye bango liloshehen sifa na majigambo lundo huku umeme kila ifikapo saa 12pm unakatwa hadi saaa moja au saa mbili kila siku?

Je najiuliza shida nnin au mitambo inafanya kaz kubwa so inapumzishwa masaa kazaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
huenda unahitaji kueleweshwa kwa vitendo...

kua muungwana, kua mustahimilivu na mwenye subra, timu ya ushindi ipo kazini muda huu, mikutano ya ndani ya vyama vya kisiasa na ya hadhara inafanyika kila eneo nchini hivi sasa....

hayo ni maandalizi ya ndani ya timu ya ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka, na ule uchaguzi mkuu mwaka ujao 2025....

ndio maana nakusihi kujiunga na timu ya ushindi ambayo ipo kuanzia hapo mtaani kwako unapoishi 🐒
 
huenda unahitaji kueleweshwa kwa vitendo...

kua muungwana, kua mustahimilivu na mwenye subra, timu ya ushindi ipo kazini muda huu, mikutano ya ndani ya vyama vya kisiasa na ya hadhara inafanyika kila eneo nchini hivi sasa....

hayo ni maandalizi ya ndani ya timu ya ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka, na ule uchaguzi mkuu mwaka ujao 2025....

ndio maana nakusihi kujiunga na timu ya ushindi ambayo ipo kuanzia hapo mtaani kwako unapoishi [emoji205]
Sawa nyie shindeni tu sie mtatukuta hapa hapa tumetulia tukiingoja neema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom