Mpaka sasa hakuna mwanaume aliyevunja rekodi ya mahari ya Adamu kwa Eva

Mpaka sasa hakuna mwanaume aliyevunja rekodi ya mahari ya Adamu kwa Eva

Eva alikuwa kitu piru... Virgin, Firstlady,Alietoka kwa mungu Direct na ambae hakuzaliwa.

Unamlinganishaje na Makubuu,Makahaba,Wauza uchi, Wadangaji na Waliwa kimasihara?

Are you serious?

Tena mna bahati hata hiyo kitu inayoitwa mahari wengi wenu ham-deserve.
 
Ukizungumzia hivyo kua adam alitoa mbavu kwa eva ....hata kila mwanaume yeyote naye ametoa mbavu moja kwaajili ya mwanamke....yaani kila mwanaume ana mbavu 11 wakati mwanamke ana mbavu 12....na ukizungumzia hivyo ujue kua na wewe kama bikra yako ilichezewa ulikosea sababu hawa alikua na bikra yake ....hawa hakua mgawaji kama wewe unayewaita watoto wawanzio majinahayo
 
Alipewa usingizi mzito kwanza akasachiwa walivyomuona hana pesa ndiyo wakamtoa mbavu...
 
kwa kawaida mahari inapaswa kutolewa ikiwa mwanamke ni bikra, kama si bikra haitakiwi kutolewa mahari maana tayari ni mke wa yule aliyemtoa bikra.

kwa nini unataka mke wa mtu anapoolewa atolewe mahari?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
 
Adam ndiye mwanaume aliyeoa kwa mahari kubwa kuliko mwanaume mwingine yeyote tangu dunia kuumbwa. Imagine alitoa mbavu zake ili kumpata Eva!

Halafu hawa "ng'ombe" wa siku hizi wakipangiwa mahari ya milioni 5 tu wanalalamika utadhani wamekatwa kichwa.

Hakuna wanaume siku hizi.
Halafu Eva boya sana, akabikiriwa na nyoka
 
Adam ndiye mwanaume aliyeoa kwa mahari kubwa kuliko mwanaume mwingine yeyote tangu dunia kuumbwa. Imagine alitoa mbavu zake ili kumpata Eva!

Halafu hawa "ng'ombe" wa siku hizi wakipangiwa mahari ya milioni 5 tu wanalalamika utadhani wamekatwa kichwa.

Hakuna wanaume siku hizi.

Unatoa mahari kubwa mwanamke Hana Bikra huo ni ulimbukeni.
 
kwa kawaida mahari inapaswa kutolewa ikiwa mwanamke ni bikra, kama si bikra haitakiwi kutolewa mahari maana tayari ni mke wa yule aliyemtoa bikra.

kwa nini unataka mke wa mtu anapoolewa atolewe mahari?

NB: Adamu alikuwa sahihi kutoa mahari. hata mimi leo nikimpata bikra niko tayari hata kukata mkono kama mahari

Umesema kweli
 
Waolewaji wenyewe wengi wao wataka hata mahari isiwepo wabebwe bureeee
 
Back
Top Bottom