Mpaka sasa hakuna mwanaume aliyevunja rekodi ya mahari ya Adamu kwa Eva

Adam ndiye mwanaume aliyeoa kwa mahari kubwa kuliko mwanaume mwingine yeyote tangu dunia kuumbwa. Imagine alitoa mbavu zake ili kumpata Eva!

Halafu hawa "ng'ombe" wa siku hizi wakipangiwa mahari ya milioni 5 tu wanalalamika utadhani wamekatwa kichwa.

Hakuna wanaume siku hizi.
kwani adam alitoa mbavu kwa hiyali yak au mbav zilitolew na mungu tu pasi majadiliano na huyo adam mwnyw
 
Adam ndiye mwanaume aliyeoa kwa mahari kubwa kuliko mwanaume mwingine yeyote tangu dunia kuumbwa. Imagine alitoa mbavu zake ili kumpata Eva!

Halafu hawa "ng'ombe" wa siku hizi wakipangiwa mahari ya milioni 5 tu wanalalamika utadhani wamekatwa kichwa.

Hakuna wanaume siku hizi.
Aliyekwambia ubavu wa Adamu ni mahari nani? Mafundisho potoshi kabisa hayo.
 
Adam ndiye mwanaume aliyeoa kwa mahari kubwa kuliko mwanaume mwingine yeyote tangu dunia kuumbwa. Imagine alitoa mbavu zake ili kumpata Eva!

Halafu hawa "ng'ombe" wa siku hizi wakipangiwa mahari ya milioni 5 tu wanalalamika utadhani wamekatwa kichwa.

Hakuna wanaume siku hizi.
😂😂😂Doh
 
Wanawake muwe na shukran jaman daa
20220930_185635.jpg
 
Biblia inasema atakayepunguza neno katika maneno ya Mungu (biblia) naye atapunguziwa. Na atakayeongeza na yeye ataongezewa.
Sasa huu upotoshaji sio poa. Tufanye yote lakini sio kucheza na neno la Mungu.
 
Back
Top Bottom