Mpaka sasa hakuna mwanaume aliyevunja rekodi ya mahari ya Adamu kwa Eva

kwani adam alitoa mbavu kwa hiyali yak au mbav zilitolew na mungu tu pasi majadiliano na huyo adam mwnyw
 
Aliyekwambia ubavu wa Adamu ni mahari nani? Mafundisho potoshi kabisa hayo.
 
😂😂😂Doh
 
Biblia inasema atakayepunguza neno katika maneno ya Mungu (biblia) naye atapunguziwa. Na atakayeongeza na yeye ataongezewa.
Sasa huu upotoshaji sio poa. Tufanye yote lakini sio kucheza na neno la Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…