Mpaka sasa, hakuna mwenyekiti wa kanda au mkoa wa CHADEMA anaemuunga mkono Tundu Lisu kua mwenyekiti wa CHADEMA taifa, kulikoni?

Mpaka sasa, hakuna mwenyekiti wa kanda au mkoa wa CHADEMA anaemuunga mkono Tundu Lisu kua mwenyekiti wa CHADEMA taifa, kulikoni?

Watu watapita chini chini kama wanaenda iba vault la bank, hamto amini
20241230_054017.jpg
 
Subiri uchaguzi bado siku mbili ndio uje na ukibaraka wako. Unadhani mbowe akishinda ana jipya kwa chadema kama si kukolapsi kwa chama hicho chini ya mbowe tena?
baada ya kuhitimisha mkutano mkuu maalumu wa CCM kesho, ntaelekea shamba jimboni mara moja, but Jan.21.2025 nitakuwepo mwenyewe physically pale mlimani City au kwa namna ya kitechnolojia .

Mbowe awe na jipya asiwe na jipya atashinda uchaguzi kwa kishindo kikuu bila mbambamba yoyote gentleman 🐒
 
Huko Dodoma mwenyekiti kapendekeza jina la ancestor kuwa makamu mwenyekiti bara.

Wajumbe wote wamenuna, maana alipoambiwa simama waliona fossils tu.
usiye mtaka kaja 🤣
 
Hampiti huko mitandaoni
Lisu anakubalika sana nchini na nje ya nchi

Lissu for the chairman. Namuunga mkono asilimia 💯
sure,
Kibaraka anakubalika sana kwa mabwenyenye ya magharibi yanayombackup, lakini pia anakubalika mitandaoni na watu wasio wapiga kura kumuwezesha kua mwenyekiti wa Chadema Taifa.

Mbowe anakubalika sana kwa wajumbe wengi mno wa mkutano mkuu wa chadema Taifa ambao ndiyo wapiga kura kumchagua mwenyekiti wa Chadema Taifa 🐒
 
Nahisi hilo ni swali nzuri sana.
Majibu ni : Hiyo ni ishara tosha kuwa Lissu ni kiboko wa watoa rushwa na wanachama wasio waadilifu.
Viongozi wengi wapo kwaajili ya maslahi yao binafsi.
 
Human remains hazina jipya kwenye uso wa dunia.
October 2025 ni bampa to bampa, mtasema yote mbona mkiwa mmegawanyika hivyo hivyo halafu Mzee huyo anapita katikati yenu 🤣
 
Nahisi hilo ni swali nzuri sana.
Majibu ni : Hiyo ni ishara tosha kuwa Lissu ni kiboko wa watoa rushwa na wanachama wasio waadilifu.
Viongozi wengi wapo kwaajili ya maslahi yao binafsi.
Lakini gentleman,
mwenyekiti wa Chadema mkoa wa mbeya anasema aliwatuma makachero wa chama wawafuatilie wanachama wachache ambao wanamuunga mkono Kibaraka, ili kujua kwenye press conference na kusafiri wanapata wapi nauli na pesa za kujikimu?

matokeo yake ni kwamba press conference zote wanalipwa nauli, chakula na malazi na huyo Kibaraka anaedai hana pesa 🤣

akahoji hiyo ni rushwa au sadaka 🐒
 
Aliwakosea nini hawa wenyeviti wa chadema wa mikoa, hata asiwepo hata moja wao tu kumuuunga mkono Kibaraka kwenye nafasi ya mwenyekiti wa Taifa?

Nimemskia mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mbeya, kwa dharau sana akihoji kwamba, mtu ambae hana uhakika hata na usalama wake tu, ndio apewe uenyekiti wa chadema Taifa kweli?

Akikimbilia ubeligiji nani ataongoza chama?

Aliendelea kumshutumu Kibaraka, kwa kuzusha kwamba viongozi wa chadema wamechaguliwa kwa rushwa.

My friends, ladies and gentlemen,

Kauli ya Kibaraka kudai kwamba viongozi wapya wa chadema, wa wilaya, mikoa na kanda mbalimbali wamechaguliwa kwa rushwa, ndio inaweza kua sababu ya kuchukiwa na kutokuungwa mkono na wenyeviti wa kanda na mikoa? au kuna sababu nyingine?🐒

Mungu Ibariki Tanazania
Naona leo mmepata , m/ mwenyekiti wa viwango
 
October 2025 ni bampa to bampa, mtasema yote mbona mkiwa mmegawanyika hivyo hivyo halafu Mzee huyo anapita katikati yenu 🤣
Wote tunakuja kujiunga ccm maana chadema inakufa 21 January. Lkn uteuzi wa Wasira hapana
 
Aliwakosea nini hawa wenyeviti wa chadema wa mikoa, hata asiwepo hata moja wao tu kumuuunga mkono Kibaraka kwenye nafasi ya mwenyekiti wa Taifa?

Nimemskia mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mbeya, kwa dharau sana akihoji kwamba, mtu ambae hana uhakika hata na usalama wake tu, ndio apewe uenyekiti wa chadema Taifa kweli?

Akikimbilia ubeligiji nani ataongoza chama?

Aliendelea kumshutumu Kibaraka, kwa kuzusha kwamba viongozi wa chadema wamechaguliwa kwa rushwa.

My friends, ladies and gentlemen,

Kauli ya Kibaraka kudai kwamba viongozi wapya wa chadema, wa wilaya, mikoa na kanda mbalimbali wamechaguliwa kwa rushwa, ndio inaweza kua sababu ya kuchukiwa na kutokuungwa mkono na wenyeviti wa kanda na mikoa? au kuna sababu nyingine?🐒

Mungu Ibariki Tanazania
Kanda ziko 7;tu dogo
 
Back
Top Bottom