Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baada ya kuhitimisha mkutano mkuu maalumu wa CCM kesho, ntaelekea shamba jimboni mara moja, but Jan.21.2025 nitakuwepo mwenyewe physically pale mlimani City au kwa namna ya kitechnolojia .Subiri uchaguzi bado siku mbili ndio uje na ukibaraka wako. Unadhani mbowe akishinda ana jipya kwa chadema kama si kukolapsi kwa chama hicho chini ya mbowe tena?
Human remains hazina jipya kwenye uso wa dunia.usiye mtaka kaja 🤣
sure,Hampiti huko mitandaoni
Lisu anakubalika sana nchini na nje ya nchi
Lissu for the chairman. Namuunga mkono asilimia 💯
Wasira StephenHampiti huko mitandaoni
Lisu anakubalika sana nchini na nje ya nchi
Lissu for the chairman. Namuunga mkono asilimia 💯
DuhLissu ni mbangaizaji.
Lakini gentleman,Nahisi hilo ni swali nzuri sana.
Majibu ni : Hiyo ni ishara tosha kuwa Lissu ni kiboko wa watoa rushwa na wanachama wasio waadilifu.
Viongozi wengi wapo kwaajili ya maslahi yao binafsi.
Wanancho ndio wapiga kura mkutano mkuu CDM ?Kwani hao wenyeviti wa Kanda Wana kura zaidi ya moja? Nilichogundua wengi wao hawasikilizi walio chini Yao, wananchi tunataka lissu
Naona leo mmepata , m/ mwenyekiti wa viwangoAliwakosea nini hawa wenyeviti wa chadema wa mikoa, hata asiwepo hata moja wao tu kumuuunga mkono Kibaraka kwenye nafasi ya mwenyekiti wa Taifa?
Nimemskia mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mbeya, kwa dharau sana akihoji kwamba, mtu ambae hana uhakika hata na usalama wake tu, ndio apewe uenyekiti wa chadema Taifa kweli?
Akikimbilia ubeligiji nani ataongoza chama?
Aliendelea kumshutumu Kibaraka, kwa kuzusha kwamba viongozi wa chadema wamechaguliwa kwa rushwa.
My friends, ladies and gentlemen,
Kauli ya Kibaraka kudai kwamba viongozi wapya wa chadema, wa wilaya, mikoa na kanda mbalimbali wamechaguliwa kwa rushwa, ndio inaweza kua sababu ya kuchukiwa na kutokuungwa mkono na wenyeviti wa kanda na mikoa? au kuna sababu nyingine?🐒
Mungu Ibariki Tanazania
CDM kuna maslahi au Fursa gani? Tufafanulie au toa mfano wa maslahi yaliopo CDM?Nahisi hilo ni swali nzuri sana.
Majibu ni : Hiyo ni ishara tosha kuwa Lissu ni kiboko wa watoa rushwa na wanachama wasio waadilifu.
Viongozi wengi wapo kwaajili ya maslahi yao binafsi.
Wote tunakuja kujiunga ccm maana chadema inakufa 21 January. Lkn uteuzi wa Wasira hapanaOctober 2025 ni bampa to bampa, mtasema yote mbona mkiwa mmegawanyika hivyo hivyo halafu Mzee huyo anapita katikati yenu 🤣
kwanini Kibaraka yupo rejected mikoani na kwenye kanda?🐒
Kanda ziko 7;tu dogoAliwakosea nini hawa wenyeviti wa chadema wa mikoa, hata asiwepo hata moja wao tu kumuuunga mkono Kibaraka kwenye nafasi ya mwenyekiti wa Taifa?