Mpaka sasa, hakuna mwenyekiti wa kanda au mkoa wa CHADEMA anaemuunga mkono Tundu Lisu kua mwenyekiti wa CHADEMA taifa, kulikoni?

Mpaka sasa, hakuna mwenyekiti wa kanda au mkoa wa CHADEMA anaemuunga mkono Tundu Lisu kua mwenyekiti wa CHADEMA taifa, kulikoni?

Ladies and gentlemen, as I said before...
Kumchagua Antipas kuwa mwenyekiti ni sawa na kumuingiza ngurue msikitini...
Frankly speaking Mbowe hautaki uenyekit na ameuchoka ila kamwe hawezi kukubali chadema aiache mikononi mwa Antipas...
Ni mara kumi basi kama chama uenyekit apewe Mdude ila sio Antipas 🤣 yaani Antipas hakuna anachoweza zaidi ya kuropoka yule jamaa hana akili ni aibu mtu mwanasheria ila hajui aongee nini na kwa wakat gani...

Anyways kidumu chama tawala, mitano tena na tena, ccm mbele kwa mbele... Manyumbu wakunja ngumi mkafie mbele 🤣
 
Hao waache wajichanganye wampitishe Mbowe halafu baada ya uchaguzi tukutane street.

Mi nawahesabu tu
 
Watakuwa wanamfahamu vizuri sana yake, sababu wamefanya nae kazi.
 
nadhani we bado kichanga kwenye mambo haya. unadhani wanachama wa kawaida na waTz wapenda haki ndio wanamchagua Mwenyekiti wa Chadema Taifa sio?

eti chama sio watu?🤣
basi chama ni wajumbe wa mkutano mkuu, ama hicho nacho hujui gentleman?🐒
Chama ni wajumbe au wanachama? Ngoja wamchague huyo Mugabe alafu tuone wanakuja kutuambia tukunje ngumi sijui tuchange!!
 
Huko Dodoma mwenyekiti kapendekeza jina la ancestor kuwa makamu mwenyekiti bara.

Wajumbe wote wamenuna, maana alipoambiwa simama waliona fossils tu.
Wajumbe wote wamenuna, maana alipoambiwa simama waliona fossils tu😭🤣
1737229532727.jpg
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Aliwakosea nini hawa wenyeviti wa chadema wa mikoa, hata asiwepo hata moja wao tu kumuuunga mkono Kibaraka kwenye nafasi ya mwenyekiti wa Taifa?

Nimemskia mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mbeya, kwa dharau sana akihoji kwamba, mtu ambae hana uhakika hata na usalama wake tu, ndio apewe uenyekiti wa chadema Taifa kweli?

Akikimbilia ubeligiji nani ataongoza chama?

Aliendelea kumshutumu Kibaraka, kwa kuzusha kwamba viongozi wa chadema wamechaguliwa kwa rushwa.

My friends, ladies and gentlemen,

Kauli ya Kibaraka kudai kwamba viongozi wapya wa chadema, wa wilaya, mikoa na kanda mbalimbali wamechaguliwa kwa rushwa, ndio inaweza kua sababu ya kuchukiwa na kutokuungwa mkono na wenyeviti wa kanda na mikoa? au kuna sababu nyingine?🐒

Mungu Ibariki Tanazania
Isipokuwa wewe usiye hata mjumbe wa shina lao unamuunga mkono.
 
baada ya kuhitimisha mkutano mkuu maalumu wa CCM kesho, ntaelekea shamba jimboni mara moja, but Jan.21.2025 nitakuwepo mwenyewe physically pale mlimani City au kwa namna ya kitechnolojia .

Mbowe awe na jipya asiwe na jipya atashinda uchaguzi kwa kishindo kikuu bila mbambamba yoyote gentleman
 
Ladies and gentlemen, as I said before...
Kumchagua Antipas kuwa mwenyekiti ni sawa na kumuingiza ngurue msikitini...
Frankly speaking Mbowe hautaki uenyekit na ameuchoka ila kamwe hawezi kukubali chadema aiache mikononi mwa Antipas...
Ni mara kumi basi kama chama uenyekit apewe Mdude ila sio Antipas 🤣 yaani Antipas hakuna anachoweza zaidi ya kuropoka yule jamaa hana akili ni aibu mtu mwanasheria ila hajui aongee nini na kwa wakat gani...

Anyways kidumu chama tawala, mitano tena na tena, ccm mbele kwa mbele... Manyumbu wakunja ngumi mkafie mbele 🤣
..mbowe akishinda itakuwa ni furaha ya muda tu chadema, Kitakachotokea wasilaumu mtu mbeleni...
 
Kwani hao wenyeviti wa Kanda Wana kura zaidi ya moja? Nilichogundua wengi wao hawasikilizi walio chini Yao, wananchi tunataka lissu
Hivi hao wanachama/wananchi wanaokusanyana kutoa maoni yao kuwataka wajumbe kumchagua Lissu, nani anayeratibu makusanyiko yao na nani anayewagharamia kulipa waandishi wa habari? Anachokifanya Lissu ni kushinikiza wajumbe kumpigia kura yeye kwa kutumia wahuni ambao wengine si wanachadema.
 
nadhani we bado kichanga kwenye mambo haya. unadhani wanachama wa kawaida na waTz wapenda haki ndio wanamchagua Mwenyekiti wa Chadema Taifa sio?

eti chama sio watu?🤣
basi chama ni wajumbe wa mkutano mkuu, ama hicho nacho hujui gentleman?🐒
We chawa wa ccm ndio unifundishe siasa mimi? Huko ccm mnakoweka muhuri tu.
Huko ccm ambako chama kinabebwa na dola.
Chama ni wanachama na wakijidanganya wakadhani chama ni wajumbe basi majibu watayapata katka uchaguzi mkuu.
Watajipigia kura hao wajumbe.
Chama lazima kiheshimu maoni, mtazama na hisia za wanachama wake na watz kwa ujumla.
 
Ahahahahaha! Halafu anadai pesa zilizonunua Jengo la Makao Makuu si halali maana ni zao la maridhiano ila analimezea mate kukaamo kama Mwenyekiti! Ahahahahaha!!
Zile pesa sio zao la kura za uchaguzi mkuu? Ni maridhiano au sijakuelewa vizuri wewe punga
 
Aliwakosea nini hawa wenyeviti wa chadema wa mikoa, hata asiwepo hata moja wao tu kumuuunga mkono Kibaraka kwenye nafasi ya mwenyekiti wa Taifa?

Nimemskia mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mbeya, kwa dharau sana akihoji kwamba, mtu ambae hana uhakika hata na usalama wake tu, ndio apewe uenyekiti wa chadema Taifa kweli?

Akikimbilia ubeligiji nani ataongoza chama?

Aliendelea kumshutumu Kibaraka, kwa kuzusha kwamba viongozi wa chadema wamechaguliwa kwa rushwa.

My friends, ladies and gentlemen,

Kauli ya Kibaraka kudai kwamba viongozi wapya wa chadema, wa wilaya, mikoa na kanda mbalimbali wamechaguliwa kwa rushwa, ndio inaweza kua sababu ya kuchukiwa na kutokuungwa mkono na wenyeviti wa kanda na mikoa? au kuna sababu nyingine?[emoji205]

Mungu Ibariki Tanazania
Wote waliingia kwa rushwa ndiyo sababu
 
Back
Top Bottom