Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Bahati mbaya CCM tunashabikia vitu vya kijinga.
Sasa wewe Mbowe kweli anamshinda LISSU????!!!.
Sasa wewe Mbowe kweli anamshinda LISSU????!!!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Ni Rahisi kwa Meli Kutua Airport kuliko lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA
Mapunguani naona mnaungana mkono kwenye hoja za kijinga.Lisu ni mbeligiji hafai kuwa mwenyekiti wa chama Chochote Cha siasa
Chama ni wajumbe au wanachama? Ngoja wamchague huyo Mugabe alafu tuone wanakuja kutuambia tukunje ngumi sijui tuchange!!nadhani we bado kichanga kwenye mambo haya. unadhani wanachama wa kawaida na waTz wapenda haki ndio wanamchagua Mwenyekiti wa Chadema Taifa sio?
eti chama sio watu?🤣
basi chama ni wajumbe wa mkutano mkuu, ama hicho nacho hujui gentleman?🐒
Wajumbe wote wamenuna, maana alipoambiwa simama waliona fossils tu😭🤣Huko Dodoma mwenyekiti kapendekeza jina la ancestor kuwa makamu mwenyekiti bara.
Wajumbe wote wamenuna, maana alipoambiwa simama waliona fossils tu.
Isipokuwa wewe usiye hata mjumbe wa shina lao unamuunga mkono.Aliwakosea nini hawa wenyeviti wa chadema wa mikoa, hata asiwepo hata moja wao tu kumuuunga mkono Kibaraka kwenye nafasi ya mwenyekiti wa Taifa?
Nimemskia mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mbeya, kwa dharau sana akihoji kwamba, mtu ambae hana uhakika hata na usalama wake tu, ndio apewe uenyekiti wa chadema Taifa kweli?
Akikimbilia ubeligiji nani ataongoza chama?
Aliendelea kumshutumu Kibaraka, kwa kuzusha kwamba viongozi wa chadema wamechaguliwa kwa rushwa.
My friends, ladies and gentlemen,
Kauli ya Kibaraka kudai kwamba viongozi wapya wa chadema, wa wilaya, mikoa na kanda mbalimbali wamechaguliwa kwa rushwa, ndio inaweza kua sababu ya kuchukiwa na kutokuungwa mkono na wenyeviti wa kanda na mikoa? au kuna sababu nyingine?🐒
Mungu Ibariki Tanazania
baada ya kuhitimisha mkutano mkuu maalumu wa CCM kesho, ntaelekea shamba jimboni mara moja, but Jan.21.2025 nitakuwepo mwenyewe physically pale mlimani City au kwa namna ya kitechnolojia .
Mbowe awe na jipya asiwe na jipya atashinda uchaguzi kwa kishindo kikuu bila mbambamba yoyote gentleman
..mbowe akishinda itakuwa ni furaha ya muda tu chadema, Kitakachotokea wasilaumu mtu mbeleni...Ladies and gentlemen, as I said before...
Kumchagua Antipas kuwa mwenyekiti ni sawa na kumuingiza ngurue msikitini...
Frankly speaking Mbowe hautaki uenyekit na ameuchoka ila kamwe hawezi kukubali chadema aiache mikononi mwa Antipas...
Ni mara kumi basi kama chama uenyekit apewe Mdude ila sio Antipas 🤣 yaani Antipas hakuna anachoweza zaidi ya kuropoka yule jamaa hana akili ni aibu mtu mwanasheria ila hajui aongee nini na kwa wakat gani...
Anyways kidumu chama tawala, mitano tena na tena, ccm mbele kwa mbele... Manyumbu wakunja ngumi mkafie mbele 🤣
Ahahahahaha! Halafu anadai pesa zilizonunua Jengo la Makao Makuu si halali maana ni zao la maridhiano ila analimezea mate kukaamo kama Mwenyekiti! Ahahahahaha!!Lissu ni mbangaizaji.
Hivi hao wanachama/wananchi wanaokusanyana kutoa maoni yao kuwataka wajumbe kumchagua Lissu, nani anayeratibu makusanyiko yao na nani anayewagharamia kulipa waandishi wa habari? Anachokifanya Lissu ni kushinikiza wajumbe kumpigia kura yeye kwa kutumia wahuni ambao wengine si wanachadema.Kwani hao wenyeviti wa Kanda Wana kura zaidi ya moja? Nilichogundua wengi wao hawasikilizi walio chini Yao, wananchi tunataka lissu
We chawa wa ccm ndio unifundishe siasa mimi? Huko ccm mnakoweka muhuri tu.nadhani we bado kichanga kwenye mambo haya. unadhani wanachama wa kawaida na waTz wapenda haki ndio wanamchagua Mwenyekiti wa Chadema Taifa sio?
eti chama sio watu?🤣
basi chama ni wajumbe wa mkutano mkuu, ama hicho nacho hujui gentleman?🐒
Zile pesa sio zao la kura za uchaguzi mkuu? Ni maridhiano au sijakuelewa vizuri wewe pungaAhahahahaha! Halafu anadai pesa zilizonunua Jengo la Makao Makuu si halali maana ni zao la maridhiano ila analimezea mate kukaamo kama Mwenyekiti! Ahahahahaha!!
Rudia kusoma ulichoandika.Zile pesa sio zao la kura za uchaguzi mkuu? Ni maridhiano au sijakuelewa vizuri wewe punga
Wote waliingia kwa rushwa ndiyo sababuAliwakosea nini hawa wenyeviti wa chadema wa mikoa, hata asiwepo hata moja wao tu kumuuunga mkono Kibaraka kwenye nafasi ya mwenyekiti wa Taifa?
Nimemskia mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mbeya, kwa dharau sana akihoji kwamba, mtu ambae hana uhakika hata na usalama wake tu, ndio apewe uenyekiti wa chadema Taifa kweli?
Akikimbilia ubeligiji nani ataongoza chama?
Aliendelea kumshutumu Kibaraka, kwa kuzusha kwamba viongozi wa chadema wamechaguliwa kwa rushwa.
My friends, ladies and gentlemen,
Kauli ya Kibaraka kudai kwamba viongozi wapya wa chadema, wa wilaya, mikoa na kanda mbalimbali wamechaguliwa kwa rushwa, ndio inaweza kua sababu ya kuchukiwa na kutokuungwa mkono na wenyeviti wa kanda na mikoa? au kuna sababu nyingine?[emoji205]
Mungu Ibariki Tanazania