barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ila Bora Halima mdee gwajima anaropoka mno, nadhani yeye na msukuma hawatofautiani, Ila kwa kawe awe makini sanaAtleast wewe umeweka ushabiki pembeni na huo ndiyo ukweli japo na mimi binafisi nimeweka ushabiki huku nilijua Kuna mziki hatari.
Watu Wana angalia mtu aliye extraKweli mkuu. Watu wasomi huwa wanaelewa sana haya mambo ya dume jike. Atapita Mr/s
Hivi watu wanawaona wakazi wa Kawe ni kama wa Mtera kuwa wanahitaji mtu bungeni wa vijembe na kusifia sifia watu?Jimbo la kawe ukamuhonge nani
Halima ni mkristo pia, kwahio sifaham kama atapata au hatapata, lakini kwa waislam heri tumchague mkristo Halima,kuliko mdini Gwajima.Kwa hiyo halima nae hatapata kura ya mkristo hata mmoja hapo kawe.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ile nyomi ni from the whole of Dar, very few from KaweUnataka kuniambia lile nyomi analojaza kila jumapili hakuna mwenye smartphone pale? Inamaana Hizo clip hawazioni? Hoja mufilisi kabisa hiyo.
Gwajiboy is untouchable.
Na ndio alikuwa mshenga wa Lowasa Chadema.
Ndio ujuwe huyu jamaa ni taasisi, hili ni pigo kwa Halima, nadhani advantage ya Halima ni mwenyekiti wa Bawacha vyovyote itakavyokuwa ataingia bungeni hata kupitia viti maalum.
Maneno tu sheikh wangu yale. Hivi unajua kama ndio dhamira yake angeomba ukuu wa Wilaya kwani huyo anamamlaka hadi ya kufunga nyumba za ibada kwa mwavuli wa usalama?Alipokuwa anasema akiwa kiongozi atazigeuza madrasa kuwa Sunday school alikuwa na maana gani?.
Ndio huyo huyo gwajiboy aliyefanya porn na kondoo wake na ni msukuma mkabila. mapema mno halima ajiandae, kuna kaa la moto anakuja kulikalia.Unamsema Gwaji boy yupi???
Huyu aliyeanzisha siasa za kikabila za kuhamasisha wasukuma waunde vikundi vya kikabila kumkampenia Magufuli???!!
Huyu anayefanya uzinzi na washarika wake huku akijirekodi???
Labda ashinde Kawe ya Mwanza, sio Kawe hii ya Wasomi na watu wenye fedha wanaojielewa ya Dar es Salaam!!!
Tukutane OctoberNdio huyo huyo gwajiboy aliyefanya porn na kondoo wake. mapema mno halima ajiandae, kuna kaa la moto anakuja kulikalia.
Mkuu nikupe facts chache, kabla hata haijulikani CCM watamsimamisha nani watu wa Kawe hasa vijiwe vya vijana hawamtaki tena Mdee...Gwajima is divisive, ni mdini.
..vilevile alishindwa ktk kura za maoni.
..hayo mambo mawili yanawapa ukakasi wapiga kura.
Kwani Mdee hajachokwa?Muda utaongea.
Gwajima atashinda kwa kura nyingi kuwahi kutokea, ndipo mtakapojua hamjuiGwajima haijui siasa, akumbuke huu mpambano aliouingia sio wa kuwaambia wale waumini wake Corona haitafika Tanzania halafu wanamshangilia, ghafla Corona hiyo, anageuka anasema haitanipata mimi then waumini wake wanamshangilia tena! huku ni tofauti, KAWE haitaki story za kijani, regardless of who you are.
Kawe ni ya Mdee, na Mdee ni mtoto wa Kawe, nothing more. Gwajima rudi madhabahuni ukatubu umepotoka.
Gwajima ataaminiwa na nani, mwanzo aliamua kumtumikia Yesu akamkimbia, je, akipewa ubunge akipata dili jingine lenye pesa zaidi hataukimbia?!
Kawe sio ya majaribio, Mdee atosha.