Gwajima sintomchagua kulingana na udini alionao, nashauri waislam wote tunaoishi kawe tusimchague Gwajima kwa sababu ni mdini sana, atazigeuza madrasa zetu kuwa Sunday school.
Heri ndugu zangu waislam hasa wapemba wengi jirani zangu tusimchague Gwajima, amejidhihirisha kutopenda waislam, na kuwatukana kila mahala, kama muislamu kheri nimchague Mdee kuliko, kukubali kuongozwa na mtu anaekashifu dini yangu.
Natangaza rasmi kuanzia leo kuanza kampeni ya mtu kwa mtu kwandugu zangu waislam kuwaonyesha ubaya wa Gwajima juu ya dini yetu waislam. Hatuchagui kiongozi kulingana na dini yake lakini pia hatuko tayari kuchagua kiongozi atakaetubagua kulingana na dini yetu, waislam wenzangu wakawe nawaasa twendeni na Halima, dini yetu nibora kuliko chochote, namtu anaekashifu dini yetu hatuwezi kuruhusu atuongoze, ndugu zangu wana ccm ambao ni waislam Gwajima hatufai kwa sababu nimdini mno.
Kama Muislam siko tayari kumchagua mtu anaekashifu dini yangu waziwazi na nawaasa ndugu zangu waislam tuwe makini juu ya Gwajima , kheri Halima ingawa nimkristo lkn hayuko tayari kutuongoza kwa kufuata dini, nasijawahi kumsikia popote akikashifu dini yamtu.
Heri nionekane mdini lakini sio kuruhusu Gwajima atuongoze waislam tunaoishi kawe.